Recent content by Watery

  1. Watery

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Yan Tanzania iongozwe na Chawa
  2. Watery

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Utanunua???
  3. Watery

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Umeelewa au unatudanganya tu
  4. Watery

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!

    Betri ikiharibika gari haitembei
  5. Watery

    JamiiForums Tanzania Israel -Iran war: Watu 585 wafa, 1326 wajeruhiwa kwenye shambulio la Israel Tehran leo

    https://youtu.be/gN12y0uq2Ds?si=RrGmQarChpzzlfmu
  6. Watery

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Iran mjanja sana, alikuwa anatumia vikundi vyake kupigana, mpango wake ni apate Nuclear ndo aanze kupigana direct
  7. Watery

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Alisema kweli, walichosema hyo ni nchi ya Palestina na Israel ni coloni, hivyo kufikia 2040 watamtoa Israel hapo
  8. Watery

    JamiiForums Tanzania Ayatollah: Iran haitakubali kusurrender, itapambana mpaka mwisho

    Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel kusema ajisalimishe kwa wema Kasema hakuna kipengere cha UN kinasema hapaswi kurutubisha Uranium kwa...
  9. Watery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Miaka 61 ya Muungano, Zanzibar inakandamizwa

    Zanzibar ndo inaikandamiza Tanzania bara, yani wana serikali yao ardhi yetu ni yao ila yao sio yetu, viongozi wao wanatutawala ila sisi hatutakiwi kupata uongozi kwao, lazima Raisi au makamu atokee kwao, na wao ni kasehem kadogo tu ka nchi Ili muungano uwe wa kweli wasingekuwa na serikali yao
  10. Watery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    We jamaa unasoma ila huna akili, dunia ya sasa inabid uelewe tu, af oa kwa kitaka kuwa na familia na sio kumfunga mtu, uko huko nje usitegemee abaki miak yote bila kuliwa, ata hapo wapo wanaomla ambao si huyo jamaa na labda huyo jamaa kashakula Ukiacha ukaenda kwa mwengine itakuwa hvyohvyo labda...
  11. Watery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Unaboa, sisomi magazet mm, hata ka umbea mtam ila cpotez mda wng, na stor ndefndef mara nying uongo
  12. Watery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ko huyu ndo star pekee aliempa fair well, kweli kuku ni timu ndogo sana
  13. Watery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Walikuwa wanamsifia humu mwaka moja na nusu nyuma, sahv yana mkana, kweli haya makuku hayajielewi
  14. Watery

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta iko juu ingali bei ya dunia ni sawa na ya 2019

    Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann
Back
Top Bottom