Recent content by waterproof

  1. waterproof

    KERO Hali ya barabara kuu Njombe - Songea kuanzia eneo la Soko Kuu hadi Uwanja wa ndege ni mbovu sana

    Hali ya barabara kuu ya Njombe–Songea, kuanzia eneo la Soko Kuu la Njombe hadi Uwanja wa Ndege wa Njombe Mjini, imezua malalamiko kwa wakazi na watumiaji wa njia hiyo baada ya kuharibika na kugeuka tope kufuatia matengenezo ya viraka. Inadaiwa kuwa matengenezo yanayofanywa na Wakala wa Barabara...
  2. waterproof

    Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

    Kitabu chake chenye utata, In God's Name: An Investigation into the Murder of Papa John Paul I (1984), kilidai kwamba Papa John Paul I, alipatikana amekufa akiwa na umri wa miaka 65 katika vyumba vyake muda mfupi tu baada ya kuwa papa mnamo 1978, alitiwa sumu na Waashi wa siri waliokuwa...
  3. waterproof

    Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

    nilicho gundua ni kwamba alsilimia kubwa ya waafrica wapo upandea wa RUSSIA
  4. waterproof

    Akili tunazichukua kwa Mama, maarifa kwa Baba

    Amukeni amukeni kuna lingine huku.....😁 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
  5. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Kugegedana tu mwanzo mwisho maisha hayaeleweki
  6. waterproof

    Ukweli kuhusu aliens

    Utafiti
  7. waterproof

    Ukweli kuhusu aliens

    Muda unakuja
  8. waterproof

    Ukweli kuhusu aliens

    Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na nyuklia raia wa Canada Bwana Stanton Friedman aliwahi kunukuliwa akisema, "dunia imekua ikitembelewa...
  9. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Gravitation force
  10. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Iko wazi kua huko hakuna gravity,
  11. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Vasco alienda America sasa me nataka kujua huko moon au Mars kina faida gani maana hakuna oxygen
  12. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Usiamini Google kwa 100%
  13. waterproof

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Kweli kabisaa Africa ni mama land historia za dunia nyingi zinaanzia Africa na naweza kusema waafrica ndio wana wa Israel halisi hao wengine wanajipendekeza tu
Back
Top Bottom