Recent content by wasaa9


 1. wasaa9

  Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

  Onny sigara# mtafute atusaidie
 2. wasaa9

  Ukifanikiwa kujibu swali hili umebadilisha maisha yako...

  Zifuatazo ni miongoni mwa sababu tosha zinakufanya usifikir na kubadilisha maisha 1)marafik wanaokuzunguka 2)umeridhika na kidogo ulichonacho 3)utak kujifunza kupitia watu chache walioendelea 4)huna malengo uliojiwekea 5)jiwekee tabia ya kujifanyia tathimini kila mwaka
 3. wasaa9

  IRINGA: Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi(TSN), Abdul Nondo akutwa na kesi ya kujibu

  Mtoto bangi uyu... Sent using Jamii Forums mobile app
 4. wasaa9

  Huyu askari atachukuliwa hatua gani?

  Sory mkuu...kurekodi mambo gan tena Sent using Jamii Forums mobile app
 5. wasaa9

  Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

  Kama ujanunua kelele ya nn....acha uzandiki acheni watu wafanye kazi....kama unapoint ya kujenga tutakusiliza na siyo kuleta habar za upinzan wasio na msaada wowote
 6. wasaa9

  Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

  Imani yako inakudanganya..... jambo likitokea katika negative stuation mnaongea sana why not positive issues...sote tunawajibu wa kuijenga nchi yetu
 7. wasaa9

  Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni ulimbukeni

  Siyo ulimbuken tu ...ni kukosa uwezo wa kufikiri
 8. wasaa9

  Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

  Kiiukwel hawa madem wanazingua...na hasa akiona kama umemuelewa sana mizinga ya hapo utakoma....
 9. wasaa9

  Umeona nini kwenye hii picha!

  Wahuni cyo watu wazuri...
 10. wasaa9

  Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

  Yeah,..my salary na huduma zngine nying za kijamaa#
 11. wasaa9

  Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana katika kikao chake maalum, siku ya Jumatano Agosti 15

  Pambana neni na hali zenu...
 12. wasaa9

  Ni Wilaya ya Kilombero tu au na zingine?

  Uku kwetu n 2570
 13. wasaa9

  Ni Wilaya ya Kilombero tu au na zingine?

  Ko unatuaminisha mafuta kufikia Tsh3ooo 1litre ...n dalili tosha kuna uhaba wa mafuta kilombelo?