INAUZWA Epson l805 na boxer 150

vicent01

Senior Member
Nov 18, 2018
100
93
habari waheshimiwa;
kwanza nimshukuru mungu kwa kuzinduka tena maana ilikua siku ya tar 12 game la simba na yanga nilipata ajali daraja la kigamboni na kuvunjika mguu wa kushoto na kulazwa muhimbili mpaka leo.
kutokana na gharama kubwa za muhimbili hospital naviuza ivi vitu viwili

EPSON L805 nmetumia miez m2 na ip9o nyumban ndan natumia kwa manati hata haijatoa page nyini
kwa ubora wa izi printer zina print page nyingi kwa wino mchache na high quality picha na inavitank 6 vya wino kila tank ni 3000 bei ya wino kwa wanaozijua nadhan wanajua moto wake

pia nina boxer mb 150 272 bgv ambayo nilikua nayo siku ya ajali
naiuza kwa lak 6(sio mpya mana ni ya mda kidogo ila ipo fiti aina tatzo labda tair ya nyuma na tuvitu tudogo tudogo)

BEI ZAKE
printer lak 5( maongez yapo)
boxer lak 6(maongez yapo)

Napatikana Temeke DSM mitaa ya temeke hospital au uwanja wa taifa
call 0742090831
thanks
soory camera niliyotumia sio high quality
na picha za piki pik sijaweka mana ipo mbali kidogo na mm siwez kutembea nimevunjika ila anaeitaji anichek
IMG_20200517_145335.jpg
IMG_20200517_145425.jpg
IMG_20200517_145506.jpg
IMG_20200517_145532.jpg
 
habari waheshimiwa;
kwanza nimshukuru mungu kwa kuzinduka tena maana ilikua siku ya tar 12 game la simba na yanga nilipata ajali daraja la kigamboni na kuvunjika mguu wa kushoto na kulazwa muhimbili mpaka leo.
kutokana na gharama kubwa za muhimbili hospital naviuza ivi vitu viwili

EPSON L805 nmetumia miez m2 na ip9o nyumban ndan natumia kwa manati hata haijatoa page nyini
kwa ubora wa izi printer zina print page nyingi kwa wino mchache na high quality picha na inavitank 6 vya wino kila tank ni 3000 bei ya wino kwa wanaozijua nadhan wanajua moto wake

pia nina boxer mb 150 272 bgv ambayo nilikua nayo siku ya ajali
naiuza kwa lak 6(sio mpya mana ni ya mda kidogo ila ipo fiti aina tatzo labda tair ya nyuma na tuvitu tudogo tudogo)

BEI ZAKE
printer lak 5( maongez yapo)
boxer lak 6(maongez yapo)

Napatikana Temeke DSM mitaa ya temeke hospital au uwanja wa taifa
call 0742090831
thanks
soory camera niliyotumia sio high quality
na picha za piki pik sijaweka mana ipo mbali kidogo na mm siwez kutembea nimevunjika ila anaeitaji anichekView attachment 1510079View attachment 1510080View attachment 1510081View attachment 1510082
Hio printer dukani inauzwa bei gani mkuu.
 
Picha please ya hiyo boxer
 
printer ishauzwa...
 
Back
Top Bottom