Recent content by Warya_warrior

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ish Ish Aaaa....

    Bangi na pombe kali ni hatari kwa maisha yako.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua vitu vya kufanya ili niweze kuoa Mwarabu

    Wanunulie wazee wake mchele si unajua waarabu na mchanga wa peponi. Good luck
  3. W

    JamiiForums Tanzania Bila wakoloni kuja kutawala Africa,Je Africa tungekuwa wapi leo?

    Tungeepuka magonjwa mengi sana ya kimwili na kiakili. Jua kwamba wazungu ndio walioigawa africa ili watumie mbinu za "devide and rule" kubagua watu ndio kazi yao.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Mhenga alisema mwenye macho haambiwi ona.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Mhenga aliyesema mganga hajigangi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Huyu ndiye Mhenga aliesema duniani ni wawili wawili
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Daah ni shidaaaaa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kicheko Ni Afya, Njoo Uondoe Stress Hapa Muhimu Kwa Afya Yako

    Kiti moto mkuu[emoji23][emoji23]
  9. W

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Labda kapewa msosi asioupenda, kwani hamna menu pale?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Dah! Huyu dereva anakimbiza sana hili [emoji590] akiambiwa punguza mwendo unashushwa porini.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kicheko Ni Afya, Njoo Uondoe Stress Hapa Muhimu Kwa Afya Yako

    Hatari. Nyerere alisema wanawake mnakalia uchumi [emoji527]
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kipindi cha Majira cha Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Mkuu naomba unirushie kama unaweza. Shukran
  13. W

    JamiiForums Tanzania Beautfully Girl from Somalia... Rwanda wajipange sana....

    Mkuu labda ulikuwa kweli ndani ya glass au una bamia.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

    Bora wao wanafanya ibada ila maaskofu wanalala na kwaya boys, mungu hapendi hayo.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

    Hahahahaha ni hatareeee.
Back
Top Bottom