Wimbo wa kipindi cha Majira cha Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

Warya_warrior

Member
Apr 3, 2017
38
13
Wakuu wa JF
Naomba kwa anae fahamu ule mziki/intro ulikuwa ukipigwa kwenye kipindi cha majira cha rtd anifahamishe nitaupata wapi? Shukran
 
Kuna uzi humu mdau aliweka midundo ile ya zamani ya vipindi vya RTD, aliita jingle nadhani.
 
Back
Top Bottom