Recent content by warlord

  1. warlord

    *33*0000# ni namba ya nini? Nilitumiwa na matapeli

    Call baring! Kwa lain ya tigo Kutoa piga #33*0000#
  2. warlord

    Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

    KANISA KATOLIKI ndio walioweka. Kama ni kosa au sio kosa, kwa mtazamo wangu ni KOSA, kwa aliye mKatoliki - kwasababu hayo ni mapatano/makubaliano ni sheria ya kanisa. Kula nyama kama kanisa lako limekataza na wewe UMEKULA huo ni UTOVU wa nidhamu 🤣🤣. Na KIROHO ipo wazi kabisa, ukivunja...
  3. warlord

    Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

    KUTOKULA nyama IJUMAA KUU ni Mojawapo ya AMRI YA KANISA(KATOLIKI)! "SHIRIKI LITURUJIA JUMATANO YA MAJIVU, NA IJUMAA KUU ILIYO SIKU YA KUACHA KULA NYAMA"
  4. warlord

    Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

    Hapo sio swala la kejeli braza. Kwa kifupi ndio iko hivyo, Kwenye maandiko ipo. "kama jina lake lilivyo, ndivyo alivyo" 1sam 25:25. sasa hapo nimekejeli wapi? Kama unahisi nimekejeli samahani sana. Sikua na nia hiyo.
  5. warlord

    Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

    Kwa mimi binafsi nina wasiwasi sana juu ya hilo jina unalotumia la KUKU MWEUSI. Kwa kawaida jina la mtu na mtu, vina uhusiano sana. Kwa hiyo kwa huo muda uliotumia hamna tofauti sana na huyo ndege. Anyway ngoja wataalam waje.
  6. warlord

    Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.

    Hahahaha Paskali! Nimesoma na kurudia rudia. Umefanya kusudi, namna uliyotumia kufikisha ujumbe huu nimeikubali. Kukuelewa hapa inataka utulivu wa kidogo. " ..... Fulizeni kutazama lakini msione" MWANZO NILISHANGAA LEO PASKALI IMEKUAJE... ILA NIMEKUELEWA. Dah.. Kubenea vs Mondi 😁😁😁
  7. warlord

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Iko moja ina hati ya jamaa yangu, Yombo-Lumo, ni apartments ziko 5... Bei imezidi kidogo 60! If interested pm.
  8. warlord

    Msaada: namna kupata whatapp kwenye pc

    Tumia Bluestack au Nox app player. Mimi natumia Nox ipo vizuri tu.
  9. warlord

    Tatu mzuka!

    Papo hapo! Cheza leo ushinde...
  10. warlord

    Waandishi kama hawa wafanywe nini?

    Ndio JOHN SAMWEL MLECELA huyo....
  11. warlord

    Ushauri: Nimekuta meseji za mapenzi kwenye simu ya mpenzi

    DUH... USHAURI wa ni nini hapo? We endelea nae, HUENDA akabadilika baadae. Maana kuna msemo unaosema "Mwenye macho haambiwi .....", " HUJUI kusoma HATA picha....." INAONEKANA unampenda sana, sasa wewe komaa uone mwisho wake.
  12. warlord

    Akhsanteni sana Waandaji wa Ndondo Cup kwani nimeuza sana Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na Gongo

    Peleka central, watanunua vyote! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. warlord

    IKULU: Rais Magufuli akutana na Bill Gates. Atenga bilioni 777 kutekeleza miradi mbalimbali sekta ya Kilimo na Afya

    Sijajua upande wa lugha... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. warlord

    Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

    Hiyo AKA yake nayo Tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom