[KQUOTE="baest, post: 22744979, member: 304294"]Ndugu wakubwa na kwa wadogo, wasalam!
Nipende kutoa shukrani kwa mwitikio wenu wa ushauri juu ya nini nifanye nilipokuja kuomba. Wengi mlinishauri na kunitia moyo kama fresh graduate.
Kama mjuavyo, kushukuru ni kuomba tena,
Nimekuja kuomba msaada...