TCU itoe muongozo kwa vijana waliokosa vyuo

WAR

Member
Dec 16, 2016
49
36
Leo ni siku ya tatu tangu vyuo vitoe majina ya awamu ya tatu kwa vijana wa kujiunga na chuo. Cha kushangaza kuna vijana wengi ambao wamefanya vizuri darasani lakini hawajaweza kupata vyuo.

Wakipiga simu vyuo husika wanaambiwa udahili kwa mwaka huu umeisha na TCU wako kimya tu bila kutoa muongozo wowote kwa vijana hawa nashangaa hawaoni kama wanawaongezea msongo wa mawazo.

Tafadhari wenye kuhusika na mamlaka hiz mchukue hatue kuokoa kundi hili la vijana.
 
Kwa hiyo ulidhani kufanya vizuri darasani yaani ufaulu ndio kigezo cha kwanza cha kuchaguliwa chuo?
 
Bwanawe tuambie kigezo kigine ni kipi ili nasisi tulio feli tuende ku apply
Huyo jamaa hajielewi, waliofaulu madaraja ya juu ndo hupewa kipaumbele cha kusoma degree.......waliobaki ndo hupelekwa kusoma diploma na certificate.
 
Back
Top Bottom