Recent content by wantuzu

  1. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Ugwadu! Kiboko ya mchawi

    ... si wataisogeza; ndio waendelee na kilichowaleta
  2. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Majambazi watatu wauawa na Jeshi la Polisi Kahama, Shinyanga

    mchwa upo ...
  3. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 6, ombaomba wasionekane mabarabarani Dar

    na Ubungo Bus terminal ataenda lini; maana kile kiingilio pale ni uhuni mtupu
  4. wantuzu

    JamiiForums Tanzania RTO Arusha ni jipu, IGP Mangu tusaidie

    ninacho kifahamu ni kuwa wamiliki wa magari madogo ambayo yalikuwa yakiendeshwa kama taxi Arusha walitakiwa wayachole mstari kuonesha kama ni taxi ...wachache walitii wengi wao waligoma na harakati nyingi walizifanya ili tuu wasichore hiyo mistari aambayo ingewapelekea kulipa mapato...
  5. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Tanzanite One Mererani wafukia watu

    kuna wakati wachimbaji waligoma wakidai mgodi si salama ... sasa imekuwaje tena
  6. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Madaktari na wauguzi wanne Mwanza wasababisho vifo vya watoto mapacha kwa kutomzalisha mjamzito

    waziri na Naibu Waziri wa wizara ya Afya... Hospitali zetu zina changamoto lukuki na haswa kwenye upande wa utoaji huduma , fanyeni ziara huko mawodini mtaibua mengi
  7. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili wanawadharau wagonjwa, hawawahudumii ipasavyo!

    Ndugu zangu heri ya mwaka mpya 2016... Ndugu zanga ni mwaka mpya 2016 na tuna kila jambo la kumshukuru Mwenyezi kwa kila jambo. lakini binafsi nna jambo linalonitatiza na sijui kama linaweza kupata suruhu ya haraka nalo ni Hospitali ya Rufaa Muhimbili . Muhimbili ni hospitali ya rufaa kama...
  8. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Kashfa: Mradi wa nyumba 73 za ndugu Masamaki wa TRA

    natamani Ndugu Rais angelitupia macho ukurasa huu yamkini angaliibua jambo
  9. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Basi la haraka kutoka Dar-Kilimanjaro

    sio kama nawapigia promo bali wako vema ... nawazungumzia ngorika hawa hawana biashara ya kuweka bus kwenye hotel za njiani nusu saa na ukipanda la kwanza saa saba uko moshi
  10. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Fazali wa Leopard aja mahakamani na Polisi

    huyu ni mtu wa karibu wa mamvi na inasemekana ndiye anamtia kibri...
  11. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    sio hilo tu kasema(gwajima) huwa anarekodi kila mazungumzo ; sasa mtizame(gwajima) anavyojua kulipuka :blabla: endapo akivurugwa ...chukulia mmesha tofautiana na clip yako yakuomba msaada wa kiroho anayo sipati picture :scared:
  12. wantuzu

    JamiiForums Tanzania 4 ever living

    Yataka moyo sana kuifanya hii biashara ... ukiona mwenye mafanikio muulize ka'join utagungua si chini ya 15 jahre
  13. wantuzu

    JamiiForums Tanzania Mfikemo Hotel Mbeya

    Fikia KWALE TRAVELLER'S ipo karibu na carnival ...pametulia sana juzi nili lalapo!
  14. wantuzu

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Aisee hii inawezekana ikawa ni kweli ... hivi karibuni nilijiuliza kuna siri gani na cheni, vidani na pete za silve mbona kama zimeibuka kuwa na umaarufu mkubwa katika siku za karibuni ... sasa nimepata jawabu
  15. wantuzu

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bado upo?

    hali ni mbaya kuliko mtu yoyote anavyoweza kudhani... watu wakitaka kuliona hili; siku moja ifanyike zoezi maaluam la kushtukiza .. wizara ya afya washirikiane na wizara ya mambo ya ndani kupitia kikosi cha usalama wa barabarani. wachague kituo mfano ubungo - stand ya mkoa au hata kibaha kisha...
Back
Top Bottom