4 ever living

4 ever living

mimi nafanya mwaka wa pili sasa sijawahi kuangalia nyuma na aliye nishawish anapata more than 30M a month
 

Attachments

  • 1431598376547.jpg
    1431598376547.jpg
    57.9 KB · Views: 296
Mimi kuna mtu ananitafuta anipeleke huko harafu kaja kwa miguu ofisini kwangu hali mimi nina gari je nitaamini vipi.
 
Mimi kuna mtu ananitafuta anipeleke huko harafu kaja kwa miguu ofisini kwangu hali mimi nina gari je nitaamini vipi.

Hahahaa soon atakuwa na gari na yeye akikomaa na busness, kama wenzie ndani ya miezi mitatu wananunua magari obvious na yeye atafanikiwa, ni mtazamo wangu tuu.
 
Yataka moyo sana kuifanya hii biashara ... ukiona mwenye mafanikio muulize ka'join utagungua si chini ya 15 jahre
 
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.

Tho siko kwenye hiyo busness tena, ila mimi alie nifuata kiukweli anatengeneza mamilioni ya pesa zaidi ya milioni 50 kwa mwezi, sema kufanya hiyo biashara yataka moyo, usiwe mvivu na uwe na uwezo wa ushawishi wa kuweza kuwaingiza watu kwenye hiyo biashara. Mimi sina ushawishi na kumbembeleza mtu siwezi ndo maana yakanishinda siifanyi tena.
 
soma kwanza vitabu vya network marketing utaelewa forever living ni nn...usikurupuke tuu...na habari za kusikia...tena nafurahi kusikia kuwa umegundua n biashara inayofanywa na watu wasomi ambao wewe unafikiri wamelaghaiwa
 
someni vitabu watz...vijana maskin wa fikra kama nilivyokuwa mm.....no easy in anything chini ya hili jua!!kutengeneza millions in forever hiyo n advertisement kama unavyoweza kusikia shinda mamilion ya jaymillions...wewe unatumaga hizo meseji ndugu ili ushinde????au unaishiaga kusema ni mazingaombwe na mwisho unashuhudiwa washindi wakitangazwa???funguka akili wewe mleta mada acha fikra finyuuuuu.......no easy no free lunch....fanya kazi kwa bidii cyo oficn tu hata forever na popote pale...succes z obvious
 
bora nisell kush but I aint 'bou joining no FLP. hesabu yake ni kama Pascal's triangle
 
TFDA wanasemaje juu ya usalama wa kutumia hizi products. ..hazina madhara kwa system za mwili na pia wamezisajili kama cosmetics. .nutritional supplements au dawa?
 
Mimi kuna mtu ananitafuta anipeleke huko harafu kaja kwa miguu ofisini kwangu hali mimi nina gari je nitaamini vipi.
Bado mgeni na magari, mshamba kweli, ulitaka aje na chop pum... Bu.
 
Back
Top Bottom