UKIMWI bado upo?

UKIMWI bado upo?

upo kwa wingi sana ila watu hawauogopi hata ivyo kuna magonjwa zaidi ya ukimwi mfano kisukari etc watu wanangonoka tu ukimwi kama mafua!
 
hali ni mbaya kuliko mtu yoyote anavyoweza kudhani... watu wakitaka kuliona hili; siku moja ifanyike zoezi maaluam la kushtukiza .. wizara ya afya washirikiane na wizara ya mambo ya ndani kupitia kikosi cha usalama wa barabarani.

wachague kituo mfano ubungo - stand ya mkoa au hata kibaha kisha wasimamishe basi moja wapo na wawapime abiria woote...ndio mtagundua kizazi mnacho ishi ni cha namna gani
 
Hapana hali ni mbaya kama huamini tembelea vituo vya PASADA uone! Kwa mfano kituo kimoja tu cha PASADA Temeke kuna maambukizi mapya 300 daily!!!! Hali nimbaya

Ukimwi upo jamani. Hali ni mbaya. Wagonjwa wenye maambukizi mapya wanaoripoti kwa wiki katika hizi hospitali kubwa kama Temeke, Amana, Sinza, Mbagala, Mwananyamala ni wengi mno.

Ukimwi upo na utaendelea kuwepo.
 
hali ni mbaya kuliko mtu yoyote anavyoweza kudhani... watu wakitaka kuliona hili; siku moja ifanyike zoezi maaluam la kushtukiza .. wizara ya afya washirikiane na wizara ya mambo ya ndani kupitia kikosi cha usalama wa barabarani.

wachague kituo mfano ubungo - stand ya mkoa au hata kibaha kisha wasimamishe basi moja wapo na wawapime abiria woote...ndio mtagundua kizazi mnacho ishi ni cha namna gani

Wewe itakuwa konda wa mabasi...
 
ukimwi haupo bna na ata kama upo basi una wenyewe
 
hali ni mbaya kuliko mtu yoyote anavyoweza kudhani... watu wakitaka kuliona hili; siku moja ifanyike zoezi maaluam la kushtukiza .. wizara ya afya washirikiane na wizara ya mambo ya ndani kupitia kikosi cha usalama wa barabarani.

wachague kituo mfano ubungo - stand ya mkoa au hata kibaha kisha wasimamishe basi moja wapo na wawapime abiria woote...ndio mtagundua kizazi mnacho ishi ni cha namna gani

Teh teh teh teh! Mkuu nimecheka ka mweu hapa watu wamenishangaa, duh maana itakuwa patashika ase, ni wazo zuri sana na mtu alosoma ulichoandika akili yake itakuwa imepanuka zaidi, kweli kama anadhani aupo ajitolee hata kwa kushawishi majirani wakapime, alafu aone response itakuwaje.
Lkn mi naona abiria wote ambao gari lao halijakaguliwa, wakijua tu lazima watakula kona, maana kuna watu wengi wanaofu tu vifuani mwao, wanaweza hata kufa kwa hofu tu, wkt kumbe walaa ugonjwa hawana.
 
Bado upo sana watu wameupozia lakini ukishaupata ndiyo utapata majibu
 
hivi ni kweli ukimwi umeisha nguvu, au ndo umeshazoeleka..???
Ukimwi upo sana mkuu, ila siku hizi ukimwi si kama enzi zile za kuwaona wagonjwa kwa macho kutokana na matumizi ya dawa za ARV, wote tunaonekana wazima, mgonjwa anajijua mwenyewe na walio karibu yake. Usipoteze umakini katika hili.
 
asante sana mkuu.
 
Namshukuru mungu my wife jana alimpeleka mtoto kliniki akaambiwa mtoto hapimwi uzito mpaka mama yake apime vvu ndipo akapimwa na kukutwa ni mzima saafii kabisa kwamajibu yake tu na mie hofu imepungua kwa kiwango kikubwa sana.
 
hahahhahahahhahahaha mmmhh.
 
kwani UKIMWI ni ugonjwa? mimi nadhani zungumzia VVU, kama vipo au hamna, maana UKIMWI si ugonjwa eti. ila VVU vipo tena vingi tu.
 
Back
Top Bottom