wantuzu
Senior Member
- Nov 24, 2011
- 143
- 28
Wadau niko njiani kuelekea jijini Mbeya. Sijui nifikie hotel gani yenye usalama kwani katika kuulizia nimeelekezwa Mfikemo hotel iliyopo Mwanjelwa.
Je, ni kweli iko kwenye mitaa salama?
Fikia KWALE TRAVELLER'S ipo karibu na carnival ...pametulia sana juzi nili lalapo!