Recent content by WANGU MTENZI

  1. WANGU MTENZI

    Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata

    All in all mengi yatasemwa lawama kwa yule na lawama kwa huyu.Langu mie nikuwatakieni pole wale wote walio wapoteza wapendwa wao,Mungu awape subra wakti huu mgumu.Am with you TZ people..
  2. WANGU MTENZI

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    Lo!eti 'sam wa ukweli'sasa huo ni kweli upi..huyo bado amelala,maana angekua macho kiukweli angejua siku na mwaka wa kuzaliwa.msimuamshe kabisa..aibu kwake!
  3. WANGU MTENZI

    utaaamu...kama

    yaitwa corndog...sasambona wantisha mie!
  4. WANGU MTENZI

    Wageukia raslimali na kuanza...we!

    Baada ya wenyeji kuona kero kwa kushambuliwa na simba mara kwa mara, wakaamua pia wao ....kulipiza kisasi.
  5. WANGU MTENZI

    Swahili Fashion Week:'Kanga' Hailed As East African Dress

    beautiful Africans..i like it!
  6. WANGU MTENZI

    Jamani! Jamani! Jamani! Blue3 ni noma

    waambiwa vizuri vyajiuza ila vyo vibaya.....wako kwenye biashara hao.
  7. WANGU MTENZI

    MALAJI YENYEWE...corndog...yepi yako maoni?

    ed 15 photo(s) to album PHOTOS
  8. WANGU MTENZI

    Hapa ni China au Iringa?

    LO! Hapo nathani ni IRINGA...ha..ha!
  9. WANGU MTENZI

    nani muongo zaidi

    wote sawa
  10. WANGU MTENZI

    Hivi huu ni UKOSA au UGONJWA?!

    Loooo!Hapo sasa...aa sijui...
  11. WANGU MTENZI

    Usingizi kweli hauna Adabu hii ni kali kupita zote Mnasemaje Waungwana?

    walale wao walalao wakuamka...juzi
  12. WANGU MTENZI

    wasanii wanatuhadaa na picha zenye alama ya freemason

    Kabisa hapo ushasema,dili zao kibao hawa.Ukweli usemwe kama show hamna atari lakini kama mengineyo bwana...
  13. WANGU MTENZI

    Lulu atimiza miaka 18 - Hongera sana

    :flypig:Hongera bintie..karibu sana "UKUBWANI"
  14. WANGU MTENZI

    Nizinusheni wakuu wa luhga

    Lahaja ya Kiunguja ndiyo ilo sanifishwa kuunnda Kiswahili kulingana na historia yake.Kulikuwepo na lahaja nyingine nyingi ikiwemo;Kimvita,Kijomvu,Kimtangata n.k.Ni sababu zipi hasa zilizochangia kupendekezwa kwa Kiunguja?
  15. WANGU MTENZI

    naombeni msaada wana jf.

    Vilugha vya mtaani viso usanifu wowote hivyo..almaarufu sana huku kwatu.sheng' waitavyo wenyewe.
Back
Top Bottom