chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 20
Blu3???? no way, sura ni ya Amani, hicho kiwiliwili ndo cha blue3 labda
Hivo eeeee hebu ngoja nimcheki fresh, ila dah hata kama ndo huyo Peace aisee hicho kivazi ni noooma!!!!
aaah wapi sio Amani,hamna uhusiano wa hiyo sura na mwili
Original ya hii picha niliwahi kuiona mahali, lemme look for it. Si Blu3 wala Amani!
Hiyo mchuchu hayuko without kabisa jameni, mbona naona kama nywele nywele na ile sugu ya kule jameni! au ni mboni zangu?mavazi mengine ni soo jamani lol!!!:doh:
sijui ndo kupunga upepo, au biashara ni matangazo?????
View attachment 12314