Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata

Weeeeeee we! We! rudia tukusikie! SERIKALI SIKIVU! SRIKALI MAKINI NA SASA TUNASONGA MBELE! HA HA HAAAAAAAAAA wacha ncheke mie! Poleni ndugu zet kwa msiba huu mkubwa. Hii ndo nchi yenu mliyopewa na Mnyaazi Mungu lakini mkapewa viongozi tepetepe!

Ha ha ha EKa Mangi. Liwalo na liwe!!! Kile kitengo chake cha maafa vipi? Not reachable!!
 
Sometimes nakufuru,najuta kuzaliwa Tanzania!

Kwa haya tunayoyaona,hata Mungu atakusamehe kwa kusema hivyo. Nafikiri sasa hivi dini zooote zifanye maombi hii laana tulonayo ituondokee. Maana hamna linalokwenda vizuri. MTANZANIA ZINDUKA!
 
All in all mengi yatasemwa lawama kwa yule na lawama kwa huyu.Langu mie nikuwatakieni pole wale wote walio wapoteza wapendwa wao,Mungu awape subra wakti huu mgumu.Am with you TZ people..
 
Mpwa naomba nitendee haki haki bhana, sema tukitumia maneno hayo WANALIA sio tunalia bhana, hua sijiskii uzurikabisa kuhusishwa japo kutajwa hata kwa bahati mbaya juu ya hawa jamaa
Mkuu tukitumia neno LEGELEGE, DHAIFU, CHOVU, KICHWA CHINI MIGUU JUU, KONOKONO, etc mnalia!!!
 
Ha ha ha EKa Mangi. Liwalo na liwe!!! Kile kitengo chake cha maafa vipi? Not reachable!!

Liwalo na Liwe bana siku hizi kaambiwa achague la kuongelea sio anaropoka tu! Ndo maana humsikii sana. Maana khatari eti anaweza kulia tena! Tumwache bana apumzike!
 
Mpwa naomba nitendee haki haki bhana, sema tukitumia maneno hayo WANALIA sio tunalia bhana, hua sijiskii uzurikabisa kuhusishwa japo kutajwa hata kwa bahati mbaya juu ya hawa jamaa

Asante sana mkuu. Usijali wewe haupo kabisa katika hilo kundi. Nimetumia tu lugha ya kiufundi ya uandishi!!! Wanajijua hao!! Tumechoka kuwataja kila siku hao hao tu.Puuuuuuuuuuuuuu naogopa kumalizia!!
 
Nimekugongea LIKE Mpwa, thanks
Asante sana mkuu. Usijali wewe haupo kabisa katika hilo kundi. Nimetumia tu lugha ya kiufundi ya uandishi!!! Wanajijua hao!! Tumechoka kuwataja kila siku hao hao tu.Puuuuuuuuuuuuuu naogopa kumalizia!!
 
JAMAN HEB NISAIDIENI CHANZO CHA KUZAMA BOTI HII NI NINI?...NIMESIKIA ETI HAINA IDAD KAMIL YA WA2 WALIOKUWEMO JE NI KWELI? Kwa anaefahamu chochote pliz help me and others!
 
Back
Top Bottom