Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kalulu Metusela, Jul 18, 2012.

 1. K

  Kalulu Metusela Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mambo mengine huwa tunayachukulia poa ila yana umuhimu sana wa kuyazingatia. wasanii wetu inabidi wajipange tena sana., Jana ndani ya HotMix show ya EATV walikuwa na msanii anayeitwa sam wa ukweli, ambapo "according to him" ilikuwa ni birthday yake hiyo jana., alipoulizwa kazaliwa mwaka gani akajibu "kati ya mwaka 1985 au 1986".., yeye hana uhakika anayejua vizuri ni mama yake atamuuliza... SERIOUSLYYYY......????? kweli nimeshindwa kumuelewa mtu mzima kama huyu bado anategemea kumuuliza mama yake mwaka aliozaliwa., Tena akisema bila uoga ndani ya live show.siku zote alikuwa wapi.? much or less yeye ni public figure... ni aibu kwa kweli...,
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  duh huyo ndio kilaza kama sio mbumbumbu!
   
 3. K

  Kalulu Metusela Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nahisi hapo bado umempendelea., sijui hata aitwe jina gani ndo litamfaa
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ni zoba la mazoba.
   
 5. K

  Kalulu Metusela Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahaaha.. hivi jamaa elimu ni level gani..?
   
 6. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Yule ni yai tu
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Aisee! hii maana imebadilika kumbe?
   
 8. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Ukiona hivyo ujue ni wa 1980. Anazuga tu..
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mpuuzi
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Kichwa kibovu!
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  B.A Edu
   
 12. WANGU MTENZI

  WANGU MTENZI Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lo!eti 'sam wa ukweli'sasa huo ni kweli upi..huyo bado amelala,maana angekua macho kiukweli angejua siku na mwaka wa kuzaliwa.msimuamshe kabisa..aibu kwake!
   
 13. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  zipo kali lakini hii ni kali zaidi..
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Wasanii wetu hata Mega superstars hawajui kuzungumza na vyombo vya habari.wanaongea tu kama wapo kwenye chobingo zao za bangi!
   
 15. K

  Kalulu Metusela Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Atakuwa kapendelewa hiyo.,
   
 16. K

  Kalulu Metusela Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umeona eeh? Kwangu nadhani itakuwa funga mwaka
   
 17. K

  Kalulu Metusela Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Public figure ni a well-known or notable person; labda kama kwenye hiyo maana sam wa ukweli haingii
   
 18. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Tatizo tukiwaambia ukweli wanaona tunawafuatilia! Ila ki ukweli wasanii wetu bado hawajaweza kuongea kwenye media.Na tatizo kubwa ni shule hawana.inawezekana vipi asijue hata mwaka aliozaliwa.
   
Loading...