Recent content by Wangooto

  1. Wangooto

    Mafao kwa watumishi wa sekta binafsi kusubiri mpaka miaka 55 ni wizi usiovumilika

    MAFAO WATUMISHI SEKTA BINAFSI KUSUBIRI MPAKA MIAKA HAMSINI NA TANO NI WIZI USIOVUMILIKA Utaratibu huu ulikuwepo zamani kwa watumishi wa sekta binafsi kuchukua mafao au michango yao mara tu wanapoacha au kuachishwa kazi. Mwenendo huu uliwasaidia sana watumishi hawa kujipatia kipata kujiendeleza...
  2. Wangooto

    Tetesi: Rushwa kumlinda mjumbe wa baraza kuu UVCCM taifa

    Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kufanyika kikao cha Baraza Kuu la Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa. Ambapo imeelezwa kuwa kikao hicho kinatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 4/5/2019. Mjumbe wa Baraza Kuu la Vijana wa CCM-Taifa kutoka Mkoa Fulani ambaye ameomba Jina lake lihifadhiwe...
  3. Wangooto

    MDAHALO: Wagombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga

    ✒��chama cha wandishi wa habari rukwa kinawakaribisha wananchi wote, kushiriki mdahalo wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu katika ukumbi wa Libori mjini Sumbawanga. Tarehe 20/10/2015 kuanzia saa 1;00 hadi saa 3;00 usiku. Wagombea wote wa nafasi ya ubunge kupitia vyama vya...
  4. Wangooto

    Prof. Mkumbo: Hakuna mwenye uwezo wa kushinda uchaguzi ndani ya CCM bila kugawa rushwa

    Prof. KITILA MKUMBO,Kiukweli bila ya ushabiki wa kivyama na mapenzi binafsi kwa LE huyu jamaa ndio mtu pekee anayeweza kuipeperusha bendera ya CCM vyema kwenye uchaguzi ujao. ni wazi kuwa kama Lowassa atapitishwa kama mgombea urais ndani ya chama chake ushindani wa kisiasa katika duru hizi...
  5. Wangooto

    Mgimwa ashinda pingamizi la chadema jimbo la uchaguzi kalenga

    Chama Cha Mapinduzi ‏@ccm_tanzania 17m Mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Gofrey Mgimwa ameshinda shauri la pingamizi alilowekewa na Chadema. Hii imedukuliwa twitter.
  6. Wangooto

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Tunagundua nia ya dhati na yenye tija kwa Taifa letu hasa wakati huu tunapojiandaa kufanya mabadiliko kisiasa si kwa uzuri wa maneno yaliyopangwa kubeba uwili kitafakuri bali vitendo vya hekima, heshima na busara za wataka ridhaa hiyo. nampongeza kamanda mbowe kwa kuonesha wazi kuwa yeye...
  7. Wangooto

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    Acha upumbavu! wewe miaka yako minne ya masomo haijakusaidia na inaonekana wazi umejifunza na kufuatilia siasa za ccm tu. hujui mifumo ya vyama vingine kama unavyojinadi. ni wapi na chama gani duniani kimewahi kiri makosa au udhaifu kilionao? CCM au CUF ni makosa gani umewahi sikia wamekiri...
  8. Wangooto

    JANUARY MAKAMBA,Kauli yako kwa tozo ya Tsh.1000/=hauko...

    Wakati fulani hutakiwi kuumiza kishwa kuwajua wanasiasa uchwara, wasomi wasiomakinika, warithi wa falme pasi kupewa wosia na kutohudhuria jandoni... huyu jamaa anayeitwa mh. makamba ni mbabaishaji na hajielewi kwa kweli inakuwaje naibu waziri haelewi mambo yanakwendaje kwenye wizara yake. wakati...
  9. Wangooto

    Shairi la chupi:- wadau wa lugha mwaombwa kulihakiki

    Watoto leo twalia, siri za baba kuvuja, Vya ndani kuchungulia, tumegeuka vioja, Wewe demokrasia, mbona sharia wavunja, Chupi ina umuhimu, kwa abu na...
  10. Wangooto

    Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

    Dr. Unajenga matumaini, hamasa, faraja na ushirika wa dhati katika ukombozi wa Nchi yetu na watu wake, tunapenda viongozi wawazi na wakweli kama wewe watawale taifa lenye utajiri usiojulikana umuhimu wake toka miaka hamsini iliyopita. Ni dhahiri kuwa utatupatia majibu ya kisayansi kuhusu ujio wa...
  11. Wangooto

    BAVICHA Kukutanisha wadau wa Elimu Dodoma tarehe 9.6.2013

    Mwenye macho aambiwi tazama, anayesema BAVICHA ni ya wachaga, hajielewi anaongozwa na hisia kurupushi za ugongwa wa kufikiri alionao. UVCCM wote ni emmotional drivers wanaotazama ujazo wa matumbo yao kesho wamebatizwa roho ya wizi, usaliti, uongo, husuda na ubabaishaji kwa kila jambo...
  12. Wangooto

    DANIELI JOHN NYAMORONGA ashinda kura za maoni CHADEMA wilaya ya Serengeti

    Hao jamaa wanapenda kushinda kwa kuhonga tu. hapo akubali mtu, tunataka wawakilishi watakaochangia ufanisi wa maendeleo ya kata si wanunua madaraka.
  13. Wangooto

    Uchaguzi vyuo vikuu

    Huyu jamaa anaonekana huwa hajihusishi na siasa ndani ya chuo kwani hajawahi onekana kwenye vikao vya chama chochote ila ni mwanaharakati kwelikweli na anajua kujenga hoja ndio maana amekubalika wapinzani wake walipoona anawashinda kwa hoja wakaanza kumchafua kwa kutumia neno ati ni kada wa...
  14. Wangooto

    Uchaguzi vyuo vikuu

    Ndani ya wiki kama mbili zilizopita vyuo vingi vya elimu ya juu nchini vimekuwa vikifanya chaguzi mbalimbali ili kujipatia viongozi watakao waongoza kwa misingi ya sheria na utawala bora katika serikali za wanafunzi. katika chaguzi hizi vijana huanza kuonekana nyota zao kisiasa kwani umaarufu...
  15. Wangooto

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    MZEE EL kwa mfumo wa siasa ya tanzania na hali ya kusahau kwa haraka miongoni mwa watanzania wengi. uwezekano wa EL kupenya tundu la sindano upo 2015, kwani jamii imechoka na siasa ya watanzania inayotembea kwa miguu ya demokrasia mufilisi isiyotafsirika kwa namna yoyote ile mpaka CCM ing'atuke...
Back
Top Bottom