Na Mwandishi wetu, Mihambwe
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka amepongeza ujenzi kituo cha Afya cha Kitama na kuhaidi kuishauri Serikali kuongeza fedha na kuleta Wataalam ili kituo hicho kikamilike na kianze kufanya kazi ya kuwahudumia...
Na Mwandishi wetu Mihambwe,
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amefanya ziara kujionea utekelezaji wa uwepo wa mashamba kwa shule za msingi na sekondari zilizopo Tarafa ya Mihambwe ambapo ameridhishwa na kupongeza shule zote zilizotekeleza agizo hilo.
Akizungumza mara baada ya ziara hiyo...
Na Mwandishi wetu Mihambwe,
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amezungumzia mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan madarakani kuwa wenye mafanikio na wakijivunia mafanikio tele yaliyopatikana kwenye nyanja mbalimbali za kielimu, afya, kichumi na...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amefanya ziara kujiridhisha uhalisia wa upatikanaji wa chakula kwa Wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari zilizopo Tarafa ya Mihambwe ambapo ameridhishwa na upatikanaji huo wa chakula lishe kwa Wanafunzi.
Gavana Shilatu...
Na Emmanuel J. Shilatu
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wote, heri ya siku ya Mwanamke! Tunaadhimisha siku ya Mwanamke tukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (SSH), Mwanamke kiongozi wa kipekee Tanzania.
Unapozungumzia Rais...
NUKUU ZA KATIBU WA NEC - ITIKADI NA UENEZI WA CCM TAIFA NDG. SHAKA HAMDU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA BENKI YA CRDB JIJINI DAR ES SALAAM, LEO MACHI 05,2022 .
#ChamaImara
#KaziIendelee
Na Mwandishi wetu Mihambwe,
Mwenyekiti Kamati ya ulinzi na usalama Tarafa ya Mihambwe ambaye pia ni Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu mapema leo Februari 22, 2022 amewafariji wakazi wa vijiji vya Mihambwe na Ruvuma kufuatia jana Jumatatu Februari 21, 2022 kutokea kadhia ya upepo mkali...
Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Wauguzi wa Zahanati ya Mihambwe iliyopo Kata ya Mihambwe Tarafa ya Mihambwe wamepongezwa kwa kuongoza wa kwanza kiwilaya kwa wingi wa utoaji wa huduma ya chanjo ya Uviko 19 kwa Watu.
Hayo yamebainishwa Leo Jumanne Februari 1, 2022 wakati wa ziara iliyofanywa na...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa nchi nzima imeleta neema na unafuu mkubwa kwa jamii.
Hayo yamebainishwa na Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu wakati alipofanya ziara ya kawaida ya ukaguzi wa miradi wa maendeleo ya Elimu ya ustawi wa jamii kwa Taifa...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe wamejitokeza kwa wingi kuiunga mkono Serikali kwenye hatua ya ujenzi wa vyumba vya madarasa yanayotokana na fedha za mpango wa maendeleo na ustawi wa jamii dhidi ya mapambano ya uviko 19.
"Namshukuru sana Rais wetu Mhe. Samia Suluhu...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwapatia fedha Tsh. 420,000,000/= za mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa dhidi ya mapambano Uviko 19 kwa ajili ya kujenga Madarasa 21 kwa shule ya...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe wachangamkia ujenzi kituo cha Afya cha Tarafa ya Mihambwe huku wakimshukuru sana Rais wa Jamahuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kuwapatia fedha Tsh. 250,000,000/= za ujenzi.
"Naipongeza sana Serikali inayoongozwa na Rais...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wakazi Tarafa ya Mihambwe wamehasika vilivyo kwa hiyari yao kupata chanjo ya Uviko 19 (Corona) mara baada ya kuelimishwa na huduma kusogezwa jirani na Wananchi.
"Nashukuru sana kupata chanjo ya Corona, niwaombe Watanzania wenzangu tuendane na Dunia ilivyo, na sidhani...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara Mhe. Anne Semamba Makinda amevutiwa na hamasa waliyonayo wakazi wa kata ya Michenjele juu ya sensa ya makazi kwani hakutarajia hali hiyo.
Mhe. Makinda ameyasema...
Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu amewapongeza na kuwashukuru Wananchi kata ya Miuta na maeneo yote ya Tarafa ya Mihambwe kwa kujitolea kwao kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.
Hayo yamebainishwa leo Jumapili Julai 11, 2021 wakati alipotembelea kata ya Miuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.