Recent content by wanawake live

  1. wanawake live

    kuitwa JWTZ

    TULIKUPIGIA SANA SIMU YAKO ILIKUWA HAIPATIKANI..
  2. wanawake live

    Gari ya bure kwa anaehitaji.

    kwanini usiigawe kwenye hospitali iliyo karibu na wewe...wakaifanya gari ya wagonjwa
  3. wanawake live

    AJIRA HIZI HAPA KWA VIJANA WA KIKE

    JOYCE KIRIA kupitia HAWA FOUNDATION anapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali ambayo yana lenga kumkutanisha Na ajira kijana wa kike ambaye amekaa tu nyumbani bila kuwa na kazi. mafunzo hayo ni ya wiki tatu, ambayo yatajumuisha uhudumu wa maduka, supermarket, uhudumu wa...
  4. wanawake live

    Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

    kilanga kimekuponza yani mtaani kwenu hujaona msichana hadi utafute wasichana wa kwenye mitandao.
  5. wanawake live

    Mafunzo bure kwa wanaohitaji kazi za ndani, hotelini na supermarket

    wanawakelivetz #WADADACENTER . 2019 Tunatarajia kuboresha program hii ya wafanyakazi wa Nyumbani kuwapa Mafunzo ya Mwezi angau mmoja... Kwa sasa wanapata Mafunzo kwa wiki moja tuu kwa Sababu ya kushindwa kuwaweka kwa muda mrefu kutokana na garama za uendeshaji... . . Tunajitahidi sana kuwapa...
  6. wanawake live

    Nahitaji Msaidizi wa kazi za ndani.

    nitafute 0783137777 nikupe msichana anaye jielewa mwenye mafunzo
  7. wanawake live

    Waungwana wamvaa Joyce Kiria

    ahaaahaaa asante kwa ushauri....
  8. wanawake live

    Joyce Kiria Na ujasiriamali

    asante sana ubarikiwe sana sana....
  9. wanawake live

    NIA TUNAYO NA NGUVU TUNAZO ZA KUPAMBANA NA UMASIKINI

    Msingi wa kufanikiwa katika jambo lolote ni kujiamini, lazima ujiamini wewe mwenye kabla mtu mwingine aja kuamini. Hii ni muhimu sana kwani hakuna atae weza kukuamini kama wewe mwenyewe hujiamini, hakuna mtu anaye weza kuwekeza kwako kama ujiamini. Ata kwenye BIASHARA zako kujiamini ni silaha...
  10. wanawake live

    Nawakaribisha kwenye semina ya ujasiriamali inayotolewa bure

    #WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza Ufugaji, kilimo na biashara. Utengenezaji wa sabuni ya mche. Utengenezaji wa sabuni ya maji ya kuogea, kufulia na chooni UTENGENEZAJI WA BATIKI DARASA hilo...
Back
Top Bottom