wanawake live
Member
- Apr 18, 2013
- 10
- 26
TULIKUPIGIA SANA SIMU YAKO ILIKUWA HAIPATIKANI..bado siamini kwa kozi yetu tulichujwa kabla ya kuingia kwenye usaili baada ya usaili wakatuambia nyie ndo mliopita njooni kwenye vipomo kesho haiwezekani namba ya watu waliopigiwa simu ikawa ndogo kiasi hicho