Recent content by wamwanjige

  1. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimjibuje?

    Aise una bahati sana .huyo Dada pia muungwana sana .amekuambia ukweli mapema tofauti na wengine angekutesa tu .mwelewe tafadhali
  2. W

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Usilale.jf usiku wa manane(00-05hrs).niote from 05-[emoji12]
  3. W

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hahahahahaha.na mimi
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hebu sikiliza beats za nyimbo hizi 3 kisha toa maoni yako

    Mbali sana mkuu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hebu sikiliza beats za nyimbo hizi 3 kisha toa maoni yako

    Nimesikiliza,then what
  6. W

    JamiiForums Tanzania Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

    Hahahaha.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

    Maana hyo ngozi yako kama rihana du[emoji4] [emoji12]
  8. W

    JamiiForums Tanzania Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

    Imekutach au.hahaha
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

    Asante kamanda.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

    Nimekusoma MKuu.mi Mwenyewe nimechoka na nimeanza kuchukua hatua
  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

    Kwani MKuu kila anajali anaweza kushauri vizuri? Au kila anayeshauri vizuri anajali?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

    Kama nakuelewa brother .Mimi nilichokuwa nawaza kufanya ni hivi 1)ni concetrate na shghuli zangu 2)nitimize wajibu wangu kama Mme 3)nirudi nyumbani late 4)nitimize mahitaji yake 5)nisiulize chochote 7)na mengine mazuri ambayo hayatahatarisha familia
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

    Zamani zilikuwa hazionekani sana sababu tulikuwa hatuishi pamoja lakini tangu tuanze kuishi about a year ndo nayaona hayo
Back
Top Bottom