Lema bana, sikujua kama huyu jamaa ni slow learner wa ajabu namna hii. Tangu ameanza harakati zake kisiasa, mwanzo kwa kikwete, alikuwa angalau hata nafoka, siku hizi kapoooooaa.
Hivi nimuulize Lema na UKAWA wote, mikakati yenu ya kuchukua nchi ipo vipi.? Jipimeni kwa mikakati madhubuti, wakati...