Eti Raisi wetu hashauriki, eboo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kwa nini unataka kumlazimisha Raisi wetu kuchukuwa ushauri wako? Wewe ni nani? Na kwani ni lazima asikilize ushauri wako? Unakuta mwingine hata tu maisha yake mwenyewe yamemshinda lkn analalamika Raisi wetu hashauriki, Bomboclat!
 
Kwa nini mnataka kumlazimisha Raisi wetu kuchukuwa ushauri wako? Wewe ni nani? Na kwani ni lazima asikilize ushauri wako? Unakuta mwingine hata tu maisha yake mwenyewe yamemshinda lkn analalamika Raisi wetu hashauriki, Bomboclat!
Vi-Wonder
 
wabongo tunapenda maneno maneno kila mtu mshauri,
nadhani ni busara Kushauri na kuondoka zako, kulazimisha unachodhani ni sahihi ni ujima.
 
Kwa nini unataka kumlazimisha Raisi wetu kuchukuwa ushauri wako? Wewe ni nani? Na kwani ni lazima asikilize ushauri wako? Unakuta mwingine hata tu maisha yake mwenyewe yamemshinda lkn analalamika Raisi wetu hashauriki, Bomboclat!
Wewe ni nani?
 
Wape za uso mwa'ngu, wape wape mpaka wavimbiane mimacho wasione kabisa.! ha ha haaa.! yaani kuna vidude vinajifanya vinajua kushauri wakati hata udiwani tu hakijawahi kugombea.

Mbowe aliposhauriwa na CCM kuhusu kumsajiri fisadi Lowasa a.k.a oil chafu, kwa majigambo alisema hivi " ukiona CCM wanakusifia kwa unalofanya, ujue umepotea. ila ukiona CCM wanalalamika ujue ujue hapo hapo ndio umepatia " mwisho kunukuu.

Sasa leo upinzani mnapokuja na ushauri kwa serikali ya CCM, tutawaamini vipi kama kweli ni ushauri wa heri.? what if, mnawaingiza chaka CCM ili wapoteane halafu mpate cha kuzungumza kwenye majukwaa.? mnadhani kweli nyie mnafaa kuishauri CCM kwa kurejea kauli zenu tata ambazo mmekuwa mkizitoa.?
 
Mbona kura wanaombwa wote? Yaleyale ya mhindi na Juma. Wakati naomba kaji wewe kuja kono nyuma, sasa napata kaji.....

Wapo watu wa hovyo sana, ndio maana yule askofu jana Roho wa Mungu alimuongoza kumwambia Rais aombewe kupata washauri watakao muambia ukweli.

Yako maneno hata hapa jF tumewahi ya soma kuwa kuna awamu walevi wakihesabiwa vizibo vya chupa kujua idadi za bia walizo kunywa. Lakini lazima tuelewe kuwa walikuwa wakisikiliza pia maongezi ya walevi hao na kuangalia kama kuna cha kufanyia kazi kama serikali.

Hivi kwa nini Rais anasema yeye ni Rais wa wote? Ila kwenye ushauri awe Rais wa wateule wachache? Na akichukua huu ushauri wako kwamba asikilize wachache, he is going to fail big time.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom