Recent content by wampinda

  1. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwalimu B.Kilagane wa Mbeya Tech hatunaye tena

    RIP Mwalimu Kilagane,nasi wa Technical College Arusha miaka ya 1980s tunakukumbuka ktk somo la Electrical Machines.Pole mama KIlagane Nurse wetu Ifunda Technical
  2. W

    JamiiForums Tanzania Like father like son...

    mvuta mkokoteni
  3. W

    JamiiForums Tanzania Atoke vipi jamani!

    asubiri hivyo alivyo mti unakaribia kukatika :A S angel:
  4. W

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa vinjwaji

    leo J/3 tulipe maana tutarudi vipi,kanuna huyo,tangu j/2!! alaa!!!!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa vinjwaji

    Wenye hizo glass wangekuwepo acha tu!!!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mchina vs Mtz

    Sijaelewa vizuri,mbona kuna kofia ngumu hapo mbele haipendi ama?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanachokililia tamwa na wadau wengine

    vijijini mbona kawaida!
  8. W

    JamiiForums Tanzania kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS

    tatizo linaanzia kwenye mpenyo wa maji kufikia kupenya pia kwenye switch
  9. W

    JamiiForums Tanzania kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS

    baadhi ya umeme unaopaswa kurudia njia ya circuit breaker unakatisha njia ya ukutani kukamilisha mkondo aridhini(earth leakage)kwa njia ya maji ya mvua yaliyopenya katika sehemu uchi(bare) ya mfumo wa umeme vibandani.breaker hiyo ni nzuri kwa matumizi.
  10. W

    JamiiForums Tanzania kitu cha kushangaza... ELECTRICIANS

    maji ya mvua yalikuwa yanachirizika ndani ya switch na kuisababisha kuunga(on) mkondo na taa kuwaka,mchiriziko ukikata switch inakata mkondo(off) na taa inazima,kitendo kinaendana na kasi ya mchiriziko wa maji ya mvua.
  11. W

    JamiiForums Tanzania wanawake wa zamani ni watanu

    Pamoja na utafiti umepima naniiii????
Back
Top Bottom