Wanachokililia tamwa na wadau wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachokililia tamwa na wadau wengine

Discussion in 'Jamii Photos' started by NEW NOEL, Sep 30, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  bbbb.jpg KUBEBA.jpg MORO4.JPG
  haya jamani wadau mtazame
   
 2. w

  wampinda Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  vijijini mbona kawaida!
   
 3. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa mi nakumbuka nilikuwa nawaona wababa wengi wakiwabeba watoto wao toka niko chekechea kule kijijini kwetu!
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Iko mbaya gani kumbeba mwanao?
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hakuna mkuu. Ni mapenzi tu.
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa lakini style ya ubebaji ni tofauti, wababa wana wakalisha watoto mabegani na kuwashika mikono juu kwa juu au wakati mwingine watoto hujishikiza kwenye vichwa vya baba zao
   
Loading...