TANZIA: Mwalimu B.Kilagane wa Mbeya Tech hatunaye tena

TANZIA: Mwalimu B.Kilagane wa Mbeya Tech hatunaye tena

Kwa wale wa mliosoma Mbeya tech kipindi hicho miaka ya tisini yule mwalimu wetu wa hesabu mwalimu B. Kilagani amefariki.

Mimi kama mwanafunzi wake nimeumia sana hasa kwa kutuachia mjane mama yetu mama Kilagani alikuwa nesi wetu pale chuoni.

Wanachuo wa mwaka wetu tulikuwa tukimpenda sana huyu mama kwa hekima zake.

Tuungane kwa pamoja hasa sisi tuliomalizaMbeya Tech miaka hiyo tuliofundishwa na huyu mzee kumpa faraja mjane.

AMINA!!
alishawahi kufundisha Ifunda tech enzi zake
 
RIP Mwalimu Kilagane,nasi wa Technical College Arusha miaka ya 1980s tunakukumbuka ktk somo la Electrical Machines.Pole mama KIlagane Nurse wetu Ifunda Technical
 
Mkuu nimegundua kuna watu wengi sana humu JF ambao ni zao la MTC,nafungua special thread kwa ajili yao...
Naomba ufungue.
R.I.P Killaghane. Naukumbuka mtihani wako pale MTC enzi hizo namaliza FTC. Mtihani wa Electrical Power na nikaja nikakuambia mtihani mgumu sana ukanijibu mtafaulu tu. Nashukuru nilifaulu.
 
Mkuu nimegundua kuna watu wengi sana humu JF ambao ni zao la MTC,nafungua special thread kwa ajili yao...
Kweli kama wewe ni Mjumbe hapa lazima unapajua.
 
Attachments

  • 1461053216236.jpg
    1461053216236.jpg
    90.9 KB · Views: 34
Kunjumu alikua hatari Sana. Ananyatia kwenye paper.
Nakumbuka kipindi kile mchezaji wa Manchester United na Argentina Sebastian Veron alikuwa maarufu ikawa Kunjumu ndio anaitwa Veron kwakua jina halisi la Kunjumu ni SEBSTIAN MPELULE KUNJUMU aka VERON.
Kwa kunyatia alikuwa noma hata Killaghane nae alikuwa vizuri.
 
Good memories
 
Back
Top Bottom