Mchina vs Mtz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina vs Mtz

Discussion in 'Jamii Photos' started by Access Denied, Sep 29, 2012.

 1. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Kama madereva wa boda boda watawajali abiria wao kwa kiasi hiki nitarudisha imani yangu kwao na kuanza kutumia tena usafiri wao.
   

  Attached Files:

 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukifanya hivyo utakuwa na ubinafsi. Yaani unataka dereva afe ili wewe ubaki.Jambo la msingi hapa in dereva na abiria kuvaa kofia ngumu.
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio ubinafsi ni yeye dereva wa kuhakikisha ubora na uwepo wa vifaa vyote kazini pake.
   
 4. w

  wampinda Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Sijaelewa vizuri,mbona kuna kofia ngumu hapo mbele haipendi ama?
   
Loading...