Recent content by Wamgimbi

  1. Wamgimbi

    NIDA wameandika mimi ni Female wakati mimi ni Male

    kashtaki police station utalipwa fidia ela nzuuri.. haiwezekan wakudhalilishe hivyo na kukufedhehesha. huoni wamekupa msongo wa mawazo unaoweza kukisababishia pressure? usikubali.. mambo ya kiuwaki hayo.. hizo bangi zao wapeleke huko huko.. wamekosa adabu Sana.. yaani kusoma hawajui hata Picha...
  2. Wamgimbi

    Mimi na familia yangu tunalihama kanisa Katoliki rasmi pia nakusudia kumuandikia papa barua kulishtaki Kanisa Katoliki Tanzania

    kweli siku hizi madhehebu yanajichanganya na siasa mnoo nadhani kuna maslahi yao endapo chama fulani kitaongoza serikali.. hata kule Kongo tunaona maaskofu wanavyowatumia waumini kisiasa. SIO Poa kabisa mambo ya kiimani bora yawe ya kiimani tuu. MIMI NI RC LKN KIUKWELI HISTORIA YA KANISA...
  3. Wamgimbi

    Safari ya kwenda Mirihi (A journey to Mars)

    hivi mtu unaposema huu ni uongozi.. tuambie ukweli basi. Mbona husemi satellite ni uongozi?? Mbona husemi nuclear bomb AU atomic bomb ni Uongo wakati yalitumika miaka ya nyuma Sana kiasi kwamba techno ilikua ndogo
  4. Wamgimbi

    Kama ningekuwa Rais

    🚭BORA BANGI KULIKO SIGARA. KWANZA KIUCHUMI BANGI INALIPA ILE MBAYAA.. ALAFU NI DAWAYA KUSAIDIA UPATE APETITE YA KULA. VILE VILE UNAKUA MAKINI ZAIDI KIKAZI.
  5. Wamgimbi

    Kuna watu hufa mara mbili

    hivi jamani.. kule vijijini mtu anapofia nyumbani alafu hakuna cha kupelekwa hospital wala Dr kuja kuhakikisha kwa vipimo.. wazee tuu au YOYOTE anaeaminiwa aminiwa akisema KAFA BASI mipango ya mazishi inaanza fasta mtu anazikwa. haswa haswa waislam. NAHISI BAADHI WANAZIKWA HAI 🤔
  6. Wamgimbi

    Kuna watu hufa mara mbili

    DUU HII MOVIE YA VAN DAME NA SAIBOGI ..SIJUI DR ANAJIRIDHISHA VP KABISAA MTU KAFA ALAFU AENDE KUFUFUKIA MOTCHWARI THEN KULE MOTCHWARI AZIBULIWE NOCK OUT.. AU DOUBLE KICK AFE KABISAA.. 🤔DUUUUH.
  7. Wamgimbi

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    JELA sigara zipo hata bangi ukitaka. ni ela yako tuu
  8. Wamgimbi

    Majibizano ya Mh.Rais na Mkurugenzi wa TBA leo Chamwino yanaonesha jinsi Rais asivyofuata ushauri wa Wataalamu wake, Rais asivunje sheria

    KWA KWELI MH.. RAIS HAPO KAZINGUA.. MAMBO YA KITAALAM HUSUSANI YALIYOSIMAMA NA SHERIA HAYAPASWI KUWEKEWA UPINZANI. MFANO..SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA KAMA INAAMRISHA KUNUNUA AU KUAGIZA BIDHAA MPYA. HUPASWI KUNUNUA YA MTUMBA.. HILO HALINA MJADALA... SIO LAZIMA KILA MRADI SIASA ITUMIKE.MASLAHI YA...
  9. Wamgimbi

    Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" alia na uhaba wa sadaka

    Hiyo biashara ya injili ni Kama biashara nyingine tuu hupanda na kishuka saa nyingine hufa KABISAA. Kama hakuwekeza hisa kwene mataasisi mbali mbali... Atakoma
  10. Wamgimbi

    Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua

    Usipaniki Sana mkuu.. Isijikute na pressure alafu ukapata stroke mambo yakawa mabaya zaidi. We jitahidi pambana lipa hilo Deni alafu.. Weka sheria au makubaliano maalum ya jinsi ya kuishi na mkeo ili msije mkajikuta mnaachana siku moja kwa sababu ambazo mnaweza kuzidhihiti kwa sasa.. Kwanza...
  11. Wamgimbi

    Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

    Write your reply...baresa
  12. Wamgimbi

    Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

    alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
  13. Wamgimbi

    Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

    alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
  14. Wamgimbi

    Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

    alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
Back
Top Bottom