Hata Mnyika na Msigwa waondoke kabisa, CCM wafanye kila kitu wenyewe ili mwisho wa siku tujue urefu wa akili zao kwa mara ya pili tena. Walioharibu waachwe warekebishe wenyewe.
Vipi wanaotumia solar, maeneo yasiyo na umeme lakini wanatakiwa kulipa property tax, wenye condos/ unit zinazotumia luku moja, assessment ya wamiliki wapya wa majengo....changamoto bado ni nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.