Huu vipi, hujatumiwa kweli??Huo uzi kuna jamaa yangu alinitumia whatsapp ndo ulionifanya nianzie kutilia shaka uoinzani wetu nikaona c vibaya nikashare na wana
jf
Hukutamani maamuzi yako yasifike?Kwani lengo hapa ni nini
Wapi tena rubii wangu?? Luwasa kawarudia tena?? Nimemwambia aliyekuwa upinzani akasema ameondoka huko, nikamwambia afike salama huenda akiomba wafwe na BP huko ccm atapewa cheo.
hahaha, hujawahi kuwa mpinzani...msalimie admin wa whatsapp group yenuMatusi yao tushsyazoea
Hongera kwa kuwa na "Twaweza" kwenye ubongoBoss wangu huyo ni mtazamo wangu kwa reseach ya ubongo wangu wakiha
Habari za jioni wapendwa.
Kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa nchini, nimeamua kuchukua hatua hii.
Kwa kuanza malalamiko yangu na huu ushabiki wa kichama ambao tumeotoa katika sera na agenda mpk kuufnya kuwa ni wa kishabiki zaidi. Mana tumefanya kuwa washabiki badala ya kuwa wazalendo na nchi yetu. Naona tunapoelekea ni yale yale ya simba na yanga katika ulingo huu wa siasa.
Maana kwa hulka ya binadaamu akikosaa yale aliyekuwa anapata mwanzo akayakosa basi huwa anakuwa na mengi ya kujiuuliza.
Haya ni katika machache niliyokuww navipata toka kwa mabwana hawa
1/ hoja nzito zenye kuligusa taifa.
Lkn kwamasikitiko makubwa leo wameyaweka mbele maslahi ya chama mbele
2/ kukosoa pasina kutoa muarubaini wa kulitibu tatizo. Hapa upinzani wetu umekuwa unaimba wimbo huu kwa zqidi ya miaka kumi sasa kukosoa ambayo ni jambo jema lkn kukosoa pekee kusiishie hapo pia wanatakiwa kulalamikia makosa hayo yaliyopita(nieleweke wazi kuwa c maanishi yaliyopita yakasahaulika) ila watuonyeshe WAY FORWARD na sikukosoa pasina kutoa ushauri wenye tija na wa kimkakati.
Nachamwisho kabisa kwa masikitiko makubwa nitoe rai yangu.
Hili la bajeti wamejitahidi sana kutueleza jinsi fedha hazikufika katika miradi wa bajeti iliyopita ,ningefurahi na kuwaona smart kama wangekuja na njia safi za kuongeza mapato yetu tukapata fedha nyingi zaidi ambayo inge cover kile kilichopelea
Angalizo kwa huu mwenendo huu munaokwenda nao mutapoteza mamilioni ya watanzania waliokuwa na imani kwenu. Mana kwa utafiti wangu wa kilasiku bwana JPM anajizolea wanachama wenu
No man, I don't have wings.Poa nitamsalimia braza nawe can you fly to KIA
Kweli yakoYoyote anayemchukia au kupingana na Uongozi / Utawala huu wa ' Kutukuka ' kabisa wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ( JPJM ) nadhani alipashwa muda huu awe Milembe Hospital akipata tiba ' mujarab '. Ninachojua Mimi ni kwamba Rais huyu wa sasa wa Tanzania kaletwa na Mwenyezi Mungu ili aweze kutusaidia na kutuvusha salama Watanzania baada ya muda mrefu wa Kuteswa na Mafisadi.
Kujitambua kwenu kuna mwehu anasema eti mnanunuliwa!!Habari za jioni wapendwa.
Kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa nchini, nimeamua kuchukua hatua hii.
Kwa kuanza malalamiko yangu na huu ushabiki wa kichama ambao tumeotoa katika sera na agenda mpk kuufnya kuwa ni wa kishabiki zaidi. Mana tumefanya kuwa washabiki badala ya kuwa wazalendo na nchi yetu. Naona tunapoelekea ni yale yale ya simba na yanga katika ulingo huu wa siasa.
Maana kwa hulka ya binadaamu akikosaa yale aliyekuwa anapata mwanzo akayakosa basi huwa anakuwa na mengi ya kujiuuliza.
Haya ni katika machache niliyokuww navipata toka kwa mabwana hawa
1/ hoja nzito zenye kuligusa taifa.
Lkn kwamasikitiko makubwa leo wameyaweka mbele maslahi ya chama mbele
2/ kukosoa pasina kutoa muarubaini wa kulitibu tatizo. Hapa upinzani wetu umekuwa unaimba wimbo huu kwa zqidi ya miaka kumi sasa kukosoa ambayo ni jambo jema lkn kukosoa pekee kusiishie hapo pia wanatakiwa kulalamikia makosa hayo yaliyopita(nieleweke wazi kuwa c maanishi yaliyopita yakasahaulika) ila watuonyeshe WAY FORWARD na sikukosoa pasina kutoa ushauri wenye tija na wa kimkakati.
Nachamwisho kabisa kwa masikitiko makubwa nitoe rai yangu.
Hili la bajeti wamejitahidi sana kutueleza jinsi fedha hazikufika katika miradi wa bajeti iliyopita ,ningefurahi na kuwaona smart kama wangekuja na njia safi za kuongeza mapato yetu tukapata fedha nyingi zaidi ambayo inge cover kile kilichopelea
Angalizo kwa huu mwenendo huu munaokwenda nao mutapoteza mamilioni ya watanzania waliokuwa na imani kwenu. Mana kwa utafiti wangu wa kilasiku bwana JPM anajizolea wanachama wenu
Haswaaaaaa!Huyomwizi wa magari ama??