yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Nafatilia kikao cha kurekebisha sheria za madini ambacho kinahusisha wabunge na wadau mbalimbali wa sheria na madini.
Wengi wa wahudhuriaji ni wabunge wa CCM pamoja na wadau wengine lakini wabunge wa upinzani nawaona John Mnyika na Msigwa kifupi hawawezi zidi wanne na mchango wao ni kidogo kwanini hawaji kutoa maoni yao.
Akina Tundu Lissu na wapiga kelele wengine mboni siwaoni, nendeni mkachangie mapema nini kiwemo na kipi kisiwepo, msisubiri kulaumu na kukosoa muswada utakapofika bungeni ili mpate kiki, akina Sugu mpo wapi?