Aisee pdidy huwezi Amini the way nilivyomfurahia mbowe hadi nimetoa machozi ya Furaha kwa kauli ya mbowe iliyoleta bunge kuhairisha bunge kwani lazima tulikua tunaingizwa chaka.
Mfyuuuu zao hao maj......mba.z..
Una akili wewe dah cjui kwa nini ucpewe hata Hui nchi uiendeshe hata kwa licku limoja tu!
Big up ni kwelii hizi kelele zisiishie kwa sitti tu tuendelee nazo watajiuzulu wengi.
Alipojibu swali la mtoto ni dharihi nafsi yake ilimsuta?!
Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa unakana damu yako kwa maisha ya duniani tu Y siti??
Kama angekua na akili angerudisha mwenyewe hilo taji dah!!!
Aisee Mimi nakusapoti kwa namna yoyote kumuonyesha hisia zako kwamba alikutesa sana na alikuumiza na unaumia na utaendelea kuumia kwa ajili take!
We unaekaataa c mbwa may b ni wewe tu but nyuma yako wap Wanaume weengii tena wao ni zaid ya m b w a kwa ukatili wanaoufanya.
Mnsssssyyy
Mh! Aiseee ni shiiida hata kama misschaga umeelewa na kuomba msamaha but still Wanaume ndio chanzo cha matatizo mengi duniani hasa ongezeko la watoto yatima na watoto wa mitaani
Da! Kiukweli mashindano hayo ya miss Tanzania yamekosa mvuto na maadili hatuwezi fanywa wajinga kiasi hiki ndani ya miaka 50 ya Uhuru uchakachuaji unafanyika tu ktk tasinia hiii yaaani waliowahi kutufichia aibu kidogo ktk tasinia hyo ni Nancy sumari, Hoyce temu na Miriam odemba basi wengine wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.