Recent content by WAMARA

  1. WAMARA

    JamiiForums Tanzania KUANZISHWA KWA MKOA WA KIPOLISI RUFIJI

    Wanajamvi! Kuanzishwa kwa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Pwani kutapunguza matukio ya kiuhalifu? Nawasilisha.
  2. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Nchi, washauri wake wapo wapi?

    Wanajamvi! Napenda kufahamu hivi ni kweli kuna washauri wa Rais? Zipo baadhi ya kauli ambazo zimetoa taswira mbaya kama nchi, je ni kweli kuna washauri wa Rais? Na wanafanya kazi ipasavyo? Nawasilisha kwa hatua zaidi.
  3. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Kwa kasi hii basi tunatarajia kupokea jina la CGP wa jeshi la Magereza. Kila la kheri jenerali Mabeyo CDF.
  4. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Ujenzi inayoendelea Chato inahitaji mjadala wa kitaifa

    Mleta Uzi umesahau kwamba Gereza la kisasa limeanza kujengwa Chato Mhe. Ameagiza likamilike kabla ya mwezi wa sita mwaka huu.
  5. WAMARA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuchelewa kumaliza katika tendo la ndoa

    Duh hiyo ni bamba to bamba
  6. WAMARA

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Duh ama kweli kuwa uyaone Faru John kageuka Nyoka John?
  7. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yenye changamoto kwa Askari wa Jeshi la Magereza

    Wanajamvi! Hivi karibuni Mheshimiwa Rais alifanya ziara ya kushtukiza JESHI LA MAGEREZA, Gereza Ukonga siku chache baadaye tumebaini mambo haya: 1. Mara ya mwisho kupata sare za Askari ni mwaka 1998. Baada ya hapo wamekuwa wakijinunulia kutoka kwenye maduka ya vigogo wa MAGEREZA akiwemo...
  8. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Askari wafichua ufisadi katika Jeshi la Magereza

    Nianze kwa kushukuru ziara ya kushtukiza ya Mhe. Rais DKT Magufuli. Ni kweli Askari MAGEREZA wamekuwa wakinunua sare zao ktk uchambuzi wangu nimebaini kwamba mara ya mwisho kupata sare za Askari ilikua mwaka 1998. Kuanzia hapo hadi Leo hawajapewa mgao, wamekuwa wakinunua sare zao kutoka kwenye...
  9. WAMARA

    JamiiForums Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

    Kazi kazi,
Back
Top Bottom