Kauli za Mkuu wa Nchi, washauri wake wapo wapi?

Kauli za Mkuu wa Nchi, washauri wake wapo wapi?

WAMARA

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
11
Reaction score
8
Wanajamvi!

Napenda kufahamu hivi ni kweli kuna washauri wa Rais? Zipo baadhi ya kauli ambazo zimetoa taswira mbaya kama nchi, je ni kweli kuna washauri wa Rais? Na wanafanya kazi ipasavyo?

Nawasilisha kwa hatua zaidi.
 
Kwa hiyo kila anachoongea Rais kashauriwa,,?
 
Back
Top Bottom