KUANZISHWA KWA MKOA WA KIPOLISI RUFIJI

KUANZISHWA KWA MKOA WA KIPOLISI RUFIJI

kiini cha tatizo bado in giza
Hilo ni tishio tu kwa wananchi lakini sio ufumbuzi Wa tatizo
 
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, wafanyekazi ya ziada kubaini ni nini hasa lengo la haya mauaji. Intelijensia ya ziada ifanywe kwa umakini zaidi.
 
Kama waliweza kuwadhibiti wazee wa gesi haitoki hata Kama ni kwa bomba la peni Rufiji nako inawezekana.
 
Polisi pigeni wote kabisa huko walale saa kumi

Majitu ya huko akili hamna kabisa wanafunzi wamekithiri kwa utoro shuleni kazi kukumbatia magaidi tu.

Eti waweke dola ya kiislam, shame on them
Mkuu kama kupiga ingekuwa dawa boko haram wangeshaisha!weledi wa hali ya juu unahitajika ktk uchunguzi manguvu hayatamaliza tatizo.
 
kwani kuna nini uko mbona majanga ya bunduki hayaishi ni nini kinagombewa uko rufiji
 
Haita saidia kabisa watakufa askar hao bure tuuu utafiti wa ki intelligenceia kwanza
 
Mimi naamini kun mengi na vingi vinafichwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Ukisikiliza mambo kadhaa yaliyosemwa na wadau waliopo katika hatua ya kuuwawa au waliokwisha uwawa wakati wa uhai wao utagundua kuna shida mahali.

Ni juzi tuu kuna gazeti liliandika list ya watu wanaotakiwa kuuliwa na wengine wanajua kabiaa kuwa wapo kwenye hatari ya kifo kiasi kwamba wanakufa na ukweli kifuani mwao.mbona kuna wengine washahojiwa sana kabla ya kifo.
Kuna gazeti liliandika habari ya kisa cha mauaji huko rufiji je inamaana hayana ukweli wowote.

Polisi badala ya kushirikiana na raia wema lakini wao ndio wamegeuka kuwa waonezi kwa raia kwa kigezo cha hao magaidi.watu wanapigwa wanavunjiwa nyumba zao wanaharibiwa vitu vyao polisi wanafanya yote hayo wakidai wapo doria.

Hembu polisi wetu na wana usalama wa taifa mtuokoe.

Kama mmeshindwa tuombe msaada kwa wenye ujuzi zaidi kuliko kuendelea kuona ndugu zetu wanateketea zaidi ni nani asiyependa kuendelea kuishi.
 
Vianzishwe vijiji vya ujamaa na kujitegemea kule! na waweke kambi ya jeshi kwa kila baada ya kata mbili. Hao matishio yataisha.
 
Polisi pigeni wote kabisa huko walale saa kumi

Majitu ya huko akili hamna kabisa wanafunzi wamekithiri kwa utoro shuleni kazi kukumbatia magaidi tu.

Eti waweke dola ya kiislam, shame on them
Mods fanyeni kazi yenu.vinginevyo polisi akifa tukicheka tusile ban
 
Back
Top Bottom