Recent content by wamajohe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

    Shetani sio kiumbe ni cheo cha ualifu, uwasi, cheo hiki anapewa Jini au mwanaadamu mualifu kwa mfano " rudi nyuma yangu shetani we ukikwazo kwangu. haya ni maneno ya Yesu akimwambia mwanafunzi wake. Jini mualifu ndio anayeitwa shetani akiongozwa na Ibilisi
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    nenda mahakamani kuchuku haki yako
  3. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, CCM, CUF, NCCR, ADC na dini zao tujipange kwa upuuzi huu wa siasa hizi

    ukitaka kujua chama gani wadini sio shida unaangalia viongozi wa dini walioko mbugeni wengi ni wachama gani.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ubora wa juice za Azam una mashaka

    juice inauzwa kwa maelfu ya wa2 unalalamika we mmja 2 we ni mgojwa maradhi ya kisasa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

    ya dito utaambiwa meja kaua bila kksudia nchi hii inawenyewe bana. utetezi aikubaliki ukishakuwa mtuumiwa lazima ushtakiwe. wakamtete mahakamani . kule itajulikana kama mjeda ALIZINGIRWA NA HAO WATOO au aliwakosakosa kuwagonga na gari wakamrushia mawe naye akarusha risasi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Dismantles al-Shabaab child indoctrination camp in Tanga region

    waislam wote ni alshababu waislamu wote magaidi. hasa uwe umefuga ndevu ukileta vurugu kidogo utasikia gaidi lakamtwa mtwara . kwa muislam gaidi kwa siyekua muislamu muharifu tusubiri kimbari
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kapuya; Nihurumieni jamani

    acheni dola ifanye kazi yake kushabikia tuuma ambazo aijulikani undani wake unafiki
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga Kikwete wakamatwa, Kikundi hicho kinaishi Msituni Tanga, Wamo Watumishi wa Serikali

    jina gani? magaidi ni waislamu na uhalifu wowote unafanywa na waislamu ni ugaidi
  9. W

    JamiiForums Tanzania Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

    huyu ni mbunge wetu kule ismani Iringa vijijini na anaongoza wat mbumbu anfikir wa2 wote watakua kama waleee
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wajipanga kusimamisha mgombea mmoja mwaka 2015 ili kuing'oa CCM

    umoja nguvu wakiungana nitawaunga mkono kuondoa chama cha wazee mafisadi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sasa yatosha kuendelea na mijadala hii

    guvu ya pamoja inahitajika
Back
Top Bottom