. . Zama ali move on na kutafuta replacement ya Jasiri Muongoza Njia kwa jazba +interests za rivals wa Jasiri. Time inavoenda anaweza kuja gundua hawana ile chemistry ya husband and wife
Ujumbe: Katika masuala ya Kiroho hatupaswi kutumia nguvu kuwaaminisha watu au kikundi cha dhehebu fulani kuwa tupo pamoja nao kiimani, bali tujikite kimatendo katika kuhakikisha maisha yetu yanadhihirisha/ yanatangaza kile tunachokiamini. Bila kuangalia idadi ya supporters. Guidance yetu iwe ni...
Hii siioni kama ni penalty. Bali ni mpira wa adhabu uliotengwa jirani na lango la timu (yenye jezi Kijani na Njano), ambayo mabeki wake pamoja na golikipa walipaswa kujipanga vizuri ili kuzuia mpira utakaopigwa. Ingelikuwa ni penalty, bas tungemshuhudia mpigaji na golikipa pekee pichani. Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.