Mimi nilikuwa muhanga wa huu upele mkuu
Unawasha sana usiku.
Nunua scaboma lotion.
Inauzwa 8,000 pharmacy
Ukitoka kuoga unapaka sehemu zilizo athirika.
Ni vyema pia ukaoga maji ya moto.
Cha kuzingatia Usirudie nguo wala mashuka[emoji419]
Tumia hii,
*840#
1- send money abroad
1-send to mobile number
3- Tanzania
Utaingiza namba ya recipient ukianza na 255
Utaweka kiasi
Utachagua no3- savings
Utachagua no4- Gift & donation
Then utaconfirm.
Mm ndo huwa nahamisha kwa njia hiyo,
Japokuwa zipo nyingi.
Mkuu kupata exactly location kwa teknolojia yetu hapa nyumbani through phone number haiwezekani.
Inawezekana kupata mnala anaotumia huyo mtu unaemtafuta.
Yani utapata ile location kwamba hii namba saiv imetumia mnala wa sehem flani, kwahiyo utaanzia kumtafuta katika hiyo location but sio...
NJOMBE hizi chuma nimeziona kadhaa, af zote nlizoziona ni
Usajili wa E na wana wanapigia TAX[emoji119][emoji119]
Kesho nikiiona hata moja ntaleta picha hapa
Samahani kwa usumbufu kidogo,
Nlikuwa naomba msaada wa kuelekezwa namna ya utengenezaji wa juice ya ukwaju kwa ajili ya matumizi ya kupunguza kitambi.
Naomba msaada wa namna ya kuandaa hiyo juice.
Ahsante[emoji120]
Baridi la Njombe hapa ni °C 9 mida hii ya saa 02:36
hakuna usingizi kabisa [emoji849]
Nipo kitandani tangu saa tano ila mpaka muda huu usingizi umegoma [emoji2357]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.