Recent content by walikuyu

  1. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Hizi vita za Viyoyozi (AC) huko Maofisini watu watatoana roho. Watu wanamaindiana kabisa

    Hao wazee ivyo vitu wamejulia ukubwani muwasamee tu
  2. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii Tuzo Waziri anahusika.

    Sababu mbona zipo wazi, wameangalia mashindano ya kimataifa sio haya ya ndani ya kununua mechi ivyo msilalamike
  3. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Aliyesema "hatuijui kesho yetu" alipatia sana. Nimenusurika kufa kwa kuhara na kutapika

    Mkuu ulikula chembechembe za uchafu shukuru umepona
  4. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nyama ya Kenge ni kitoweo kitamu sana!

    Natamani nijaribu kumla uyu mnyama sema sijui kumuandaa embu nipe shule mleta mada
  5. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

    Safi, sasa kipindi hichi usifanye makosa kabisa muite chocho mpe maneno ya mapenzi akae sawa ule mzigo
  6. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

    Kosa lako ulianza kuleta mambo ya dada na kaka ulitakiwa kupeleka moto mwanzo mwisho mpk mtoto aelewe unajua hivi viumbe havitakiwi ukwepeshe maneno hapo lazima atanyoosha maelezo tu.
  7. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

    Hivi kimaendeleo lindi na musoma panafanana au imekaaje wakuu
  8. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi mtamu huu yani unasoma nondo huku mashine imetuna balaa embu wakulungwa leteni mastory
  9. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikurupuke kuingia kwenye ndoa...

    Mwanamke unaweza mpa Kila kitu na bado ukachapiwa mbona wengi tu tunawaona wanaume zao wapo vzur lkn wanapigwa miti kama kawa
  10. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua ndoa zimekufa muda sana

    Vp wew mtoa mada umeoa au bado?
  11. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Tabora: Bodaboda wawili wafariki kwa kugongwa na treni wakijaribu kushindana nayo

    Hivi kwa nn boda boda nchi nzima akili zao zinafanana
  12. walikuyu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

    Mambo ya kuoa maslei qwinii ayo hu wa munaangalia sura sio tabia unaona matokeo yake
  13. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Ninataka kujiondoa JF kutokana na uhaba wa watu wenye akili kubwa siku za hivi karibuni

    Nafikiri ungefuta app ya jf kwenye simu yako kamwe usiingie tena jf hapo utakuwa umejiondoa moja Kwa moja
  14. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Je unawajua choosen one na maajabu yao katika dunia

    Sijajua kama naweza kujiita chuzeni wani mana nayopitia kwenye maisha yangu yanaendana kabsa alichosema mleta mada.
  15. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Shamba nililonunua kwa Tsh laki 3 mwaka 2009 leo hii thamani yake imevuka Tsh 40m

    Ongera mkuu Kwa kuelewana na wazee wako, lakini kwangu Bado ngumu kidogo sina mahusiano mkuu tatizo ni uchawi niliamua kujiweka mbali nao Kwa sababu za kiusalama zaidi kiukweli uchawi wa ndani ya familia ni mbaya sana ndio chanzo cha matatizo mengi ninayopitia mpk sasa.
Back
Top Bottom