Recent content by Walahi sitanii

  1. Walahi sitanii

    Ndaga, Malafyale Magufuli

    Kweli hili ni Jambo jema, Lkn pia asisau barabara tukuyu,> bujela>, ijigha >Masukulu ambayo itaunga Mpaka kyela..Ili kuunganisha wanaacnchi wa vijiji hivi....Lkn Hadi hapo pongezi nyingi kwa Rais.
  2. Walahi sitanii

    Rungwe tuna wabunge bubu!

    Tukuyu-bujela-ijigha masukulu hadi kyela.. barabara na huduma zingine za jamii zina hali mbaya.
  3. Walahi sitanii

    Rungwe tuna wabunge bubu!

    Kabisa
  4. Walahi sitanii

    Simulizi: Nilipanga nyumba moja na majini

    Nimesoma hii simulizi usingizi umepotea gafla...
  5. Walahi sitanii

    Lema kuhojiwa kwa kutoa kauli ya kwamba 'Bunge ni dhaifu'. Wabunge wa CHADEMA wasusia Bunge...

    Hivi kwa Nini Bunge linawashwa na hiyo kauli?...Ukwel siku zote ni mchungu.
  6. Walahi sitanii

    Ni nani atakayekuwa CAG mpya wa Tanzania ?

    You said it all..watanzia ni watu wa ajabu, Wako busy kumtafuta mrithi wa CAG. kweli safari ni ndefu sana.
  7. Walahi sitanii

    Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

    Kushika dini huku ni kubaya sana
  8. Walahi sitanii

    Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

    Hata hiyo kaz unayofanya, how do you keep yourself updated?, Sasa naona waniaminisha kwa Nini wafanyakazi wengi kwenye maofisi mengi, utendagi wao upo chini ya kiwango, and tu local..poor customer care, kufanya Kazi kwa mazoea na kujifuta kwingi etc.. Ni wangapi walio kama Wewe wako kwenye...
  9. Walahi sitanii

    Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

    Nafikiria anacheza na akili zetu tu
  10. Walahi sitanii

    Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

    Kwanza kutokujua tofauti ya anayesoma vitabu na ww usiyesoma ni dhihirisho tosha kwamba Kuna gap you are missing something..Atleast unahitaji kusoma vitabu Ili uweze angalau basi kupambanua tafauti yako na mtu anayesoma vitabu..Amka mkuu. Huwez ukawa ni graduate,alafu huoni tofauti ya mtu...
  11. Walahi sitanii

    Samahani Rais wangu: Kwanini umeamua kujivisha sifa ya "Uongo uongo na ujanja ujanja" kiuongozi? Nakupa mifano hii

    Ukifikira vizuri utangundua mchangiaji hoja, na hoja yako vinamaana mbili tofauti. Concern yako ni usahihi wa baba wa jiwe, lkn mchanjiaji wa maada nilivyomwuelewa haongeli hilo,.Anajirabu kupima uwezi wa uongoz wa mtu na malezi yake kutoka kwa wazazi wote wawili, which is totally wrong na...
  12. Walahi sitanii

    Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

    Napenda jina lako tu Rebecca..sijui kama ndo jina lako halisi!?
Back
Top Bottom