Mr Rocky,
Dah mmenikumbusha kitambo nyie raia. Kuna afande mmoja alikua anaitwa Bruno jamaa alinitupiaga stick ya kichwa kisa Mwalimu Mleli kamuambia anishughulikie, nikaona hapa jamaa ataniua nikatoka nduki mbaya smart Area pale nilikipia speed ya hatari kama Hussein Bolt. Ticha Mleli...
Good Analysis. Nina wasiwasi sana na Hiki kiwanda na namna huyu mwekezaji anavyokumbatiwa na kupewa support ya kipekee kabisa kutoka serikalini.
Kumbuka mpaka sasa katika nchi yetu kuna viwanda takribani vi nne vinavyozalisha cement. Kama Goverment haitatoa the same support kwa viwanda vingine...
Kwa kweli mpaka msimu huu uishe hapo May/June tutakua tumepata burudani ya kipekee...Elclassico takribani 4 zimebaki kwa kipindi cha mwezi mmoja ..sidhani kama imeshawahi kutokea hii..huu ni mwezi wa mavuno kwa industry ya kamari ulaya hususan Spain.... but as usual Mourinho doesnt dissapoint...
We Rose mbona unapotosha jamii..mimi si mrefu wala si mfupi ni saizi ya kazi lakini huku nyini kunataka kufikia kwenye goti ...kama ni suala la ratio basi ningekua kama hashim Thabit
Gembe unamzungumzia Raisi gani?Kikwete au??kamani Kikwete basi anawezakufanya kitu kama hicho..ndio maana akawa Raisi tofauti kuliko Raisi yeyote yule Duniani..
Hawa watu kweli ni vilaza ..ni bora tu wakae kimya tusijue mapungufu yao ya akili..sasa mtu anasema viwanda vipunguze bei saabu hawana sababu yeyote ya msingi ya kupandisha bei..hapohapo anakuja kusema inabidi afanye ziara aangalie kitu gani kinasababisha kupanda...Sasa kwanini asingeanza kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.