Recent content by WAKUNJOMBE

  1. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    No bora ungetembea na mke wake, kuliko ulicho fanya, maana kesho kwako, unajua karma (results of actions)
  2. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Mtu akikusaliti: Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu. Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali. Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote. Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari. Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri. Jikumbushe kuwa thamani yako...
  3. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Kitendo hiki cha MOSSAD kuiba nyaraka zenye siri zote za nyuklia ndani ya Tehran kinawafanya Israel waendelee kuitwa 'wachawi' wa ujasusi duniani

    Fatilia kunadocumentary ipo you tube, acha uvivu, Jengo hilo hata ww ungehisi limetelekezwa ni baya hasa, na lipo uswahilini
  4. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    Bora usingeongelea Zinji, Yaani pale ni Upemba na uunguja ungetamalaki, Amani ya Zenji ni Tanganyika
  5. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    Nilisha kupa majibu, hii dunia bila Wakristo au Mnawaita makafiri mngeuwana sana wafuasi wa Allah.
  6. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    Bro USIJUBU KW MIHEMKO, HEBU TUKKULIZE, KWA NINI WANAKIMBLIA NCHI ZA MAKAFIRI? JUZI JUZI TU MISRI WALIFUNGA MPAKA HAWATAKI WAKIMBIZI TOKA GAZA, KWANINI WASIENDI QUATARY? SAUDIA? MANCHI MATAJIRI KAMA NN? WHY ALWAYS KWA MAKAFIRI? NA KITABU CHAKO KINASEMA WAISLAM NI MANDUGU WHY HAWAENDI HUKO KWA...
  7. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania KERO Wachina wa Global Aluminium Ltd cha Kibaha – Zogowale wananyanyasa wafanyakazi wao

    mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.
  8. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Uzi wa vitu vizuri; vacuum bottles,lunch box ,jugs nk vipo hapa

    hahitaji hii mpo wapi
  9. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    mKUU mm INAZINGUA, INANIPA ERROR ILA HAONYESHI NI ERRO GANI, NIMARIBU ZAIDI YA MAR NNE
  10. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia afanye mambo matatu yanayoweza kurejesha Imani ya wananchi kuelekea kwenye maridhiano

    Pamoja na kuwaachia wafungwa wa kisiasa, Ongeza haya, Mimi Moja-Waliotekwa wote waachiwe, mbili-Bunge livunjwe Tatu-Kusiwe na cheo cha mkuu wa mkoa wala wilaya
  11. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni marehemu anayetembea ambaye anatafuta kaburi la kuzikwa

    Mkuu bado hujaonge vizuri, yaani nikwanza asubuhi.....tulia uone kazi ya zombi
  12. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    kuna mtaa umefanana na makambako kabisa
  13. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

    Ukiona mwanaume anajisifia kua anajua kutukana, ujue kuna walakini.....
  14. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matrafiki watatu wa Msolwa - Chalinze: Nina video yenu na sauti Live mkiomba na kupokea rushwa!

    Ushauri mkuu achan nao, Tupo road kila siku na tunamarafiki zetu ni trafic, wapo huwa wanatusaidia tukikutwa na jambo , so please samehe, Pia kumbuka maisha ni haya haya, ukimharibia leo huwezi jua impact yake.
  15. WAKUNJOMBE

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Tatizo la vijna wengi wanaoa sura, au umbo kumbuka wake wapo ila sio wengi kama unavyo dhani ni wachache sana, ..Mm kama mm ndoa imeniokoa sana na kumbuka ni ya kikatoliki, kumbuka nimemzidi 10yrs, sijawahi kujutia kuoa,
Back
Top Bottom