Recent content by wakunchenje

  1. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kutoka Kwa Waziri Kivuli Mambo ya Nchi za Nje

    mtoa hoja asante kwa taarifa [tamko] naomba utusaidie sisi wanyonge je msaada huu wa shiringi trilion moja kutoka mcc ni kwa muda gani aitha ni kwa mwaka huu au kwa miaka mingapi?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania now joins talks to resolve oil pipeline triangle and seeks route for its natural gas

    hujielewi wewe boya kama maboya wengine
  3. W

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais: Watumishi wa Muhimbili waanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini

    kutokana na sakata la watumishi wa wizara ya afya kuhamishwa kutoka hospital ya muhimbili kupisha jengo walilokuwa wanatumia kuwa wodi ya wakinamama namshauri NGOSHA hao wafanyakazi wawe watu wa mwanzo kuhamia DODOMA kwenye satelite city ya serikali wakaanzishe makazi mapya faida zake ni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania The world's most powerful people of 2015

    Amekatwa tena
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oda kwa Yanga kutoshiriki bonanza la Kagame

    hii ni nafasi kwa malinzi kutuonesha yeye ni aina gani ya kiongozi kwa maamuzi ya kukubali au kukataa ombi la (musonyi cup )
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF Yapokea maombi ya Kagame CUP 2015

    nimekuelewa sana nchi hii ndio maana tunadharauliwa sana tunashindwa kutunza heshima kama nchi ni upuuzi mtu anaonesha dharau na matusi kwa taifa letu leo anakuja tena anafata nini malinzi tulindie heshima yetu na nyinyi waandishi wa muichezo chama chenu kitumieni hili lisifanikiwe
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF Yapokea maombi ya Kagame CUP 2015

    ni muda muafaka sasa TFF kulinda heshima yetu musonyi ni mtu mwenye dharau aliyoyoyafanya yalikua dharau kwa nchi hii malinzi kataa hiyo ofa waende hukohuko mashindano yafanyike hapa endapo huyo mwenye dharau atakapo achia nafasi hiyo ameharibu mashindano kwakujifanya mjuaji sasa ni muda...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na Kenya ni wa kindugu, Tuache kuingiza siasa

    ninaimani kubwa kwa mwakyembe hawa jamaa wanatuchezea akili walianza na kutanaza vivutio kwa pamoja likafuata suala la viza ya pamoja na leo wamekuja na hili hatujui kesho watakuja na nini nafikiri muda umefika sasa wakuchukua hatua
  9. W

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na Kenya ni wa kindugu, Tuache kuingiza siasa

    haijalishi ameongea maneno haya nani lakini haya nimawazo yakipuuzi sana msemaji ameshindwa kutumia akili kidogo tu kufikiria
  10. W

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na Kenya ni wa kindugu, Tuache kuingiza siasa

    katika vitu ninavyovijua nikiwa raia wakawaida bado muda kidogo wakenya mtapaona bongo pachungu kuliko mnavyodhania hisia mbaya kwa wananchi wa kawaida juu yenu inaongezeka kwa kasi kuliko mnavyozania naona unawalaumu wanasiasa wetu wakati sisi ndio tunaona wanatusaliti juu yenu wanashindwa...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sony experia tablet

    naomba mwenyekujua ufumbuzi WA tatizo hili kifaa changu kimeharibika touch screen lakini picha inaonekana ni Sony experia z1 tablet kwa yoyote mwenye mawazo please nisaidie niirudishe katika haliyake ya zamani
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

    siasa za nchi hii haziendi katika uelekeo unaostahili mambo mengi yameharibika wachache tunaowasikiliza wanatuchanganya hakuna sector isiyo na manung'uniko kilakitu hakikao sawa viongozi hawatutendei haki wachache wanahisi wanayomamlaka ya kutusemea na kutuamulia tulio wengi sio wanasiasa. wala...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

    usiwe limbukekeni we dadamondi mashabiki wanakuona limbukeni kwani kukata viuno ndio ufundi nyumbi bombi -------- hizi no mistari iliyopo kwenye nyimbo inaitwa kama Jana nature alifanya na jide nafikiri sasa inaleta maana ya kilichoimbwa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

    acha dharau wewe mama unaongea kama umevuta bangi Mjini umechelewa kuja haya mambo yapo juu ya uwezo wako nature ndio msanii aliyechangia maendeleo ya muziki huu alijitolea kusaidia vijana kuupenda na kuona bongo flava ni fulsa ya ajila sass unapokuja na mawazo yako ya kimama mama unakuwa...
Back
Top Bottom