wakunchenje
Member
- Apr 8, 2014
- 41
- 14
naomba mwenyekujua ufumbuzi WA tatizo hili kifaa changu kimeharibika touch screen lakini picha inaonekana ni Sony experia z1 tablet kwa yoyote mwenye mawazo please nisaidie niirudishe katika haliyake ya zamani