Recent content by WAKU-GOOGLE

  1. W

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya Kuroiler F1 Vinahitajika Singida

    Ndugu wamekusahau wadau
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kona ya mavazi

    [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  3. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

    Na cheap labour yenye akili ya ubunifu sio ya kindezi kama sisi.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi Me tarehe ya kuzaliwa 12/7 herufi - V Ke tarehe ya kuzaliwa 3/6 herufi - F Mahusiano ya kupelekea ndoa.
  5. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pure GSD for sale

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  6. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

    Chuoni inahitajika laptop ili uweze kusoma notes na u-type kazi zako vizuri na kwa uharaka. Huwezi type kazi ya page let's say 3 kwa kutumia simu... Hata udogo tu wa screen utaleta kero kwako. Tafuta laptop na iwe screen kubwa tu sio ununue vi-minlaptop. Chukua laptop achana na simu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu kwa vigezo vyote ni mwenye akili za ziada kumbe mjinga?

    Na sasa mvua isiponyesha ukiomba mvua haiji unaambiwa Mungu hujibu kwa wakati wake.... Kama sina chakula leo... Nikiomba Mungu atanipa hata baada ya miaka 10 ndicho tunachoambiwa ni sahihi.! Tumejisahau sana sisi Waafrika. Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
  8. W

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu kwa vigezo vyote ni mwenye akili za ziada kumbe mjinga?

    Asili yetu ni hayo unayoita ndumba, tusisahau mila na desturi zetu na kukazania dini zilizoletwa na wakoloni... Kwa nini kila taratibu walizozikuta Africa zionekane hazifai? Ila tamaduni za wakoloni ndizo zionekane zinafaa? Ukristo /uislamu ni dini za wazungu/waarabu na ni tamaduni za wakoloni...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

    [emoji106] Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

    Kwa maelezo yako, kweli unaweza ukalala na yoyote na baada ya hapo ubadilishe na wote wawe wanakupikia na kukufulia? Unawagonganisha makusudi wanawake? Akimkuta mwenzake kwako ndio asepe, ulete mwingine? Na mchezo uwe hivyo hivyo? Sijui lakini kwa mimi naona si rahisi mkuu, labda mimi muoga...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

    Uongo Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

    emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanene tunanyanyasika sana

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  14. W

    JamiiForums Tanzania Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

    Asante mkuu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

    Vipi kuhusu namna ya kujua hii Inatumia umeme mdogo?
Back
Top Bottom