WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 630
Chuoni inahitajika laptop ili uweze kusoma notes na u-type kazi zako vizuri na kwa uharaka.
Huwezi type kazi ya page let's say 3 kwa kutumia simu... Hata udogo tu wa screen utaleta kero kwako. Tafuta laptop na iwe screen kubwa tu sio ununue vi-minlaptop.
Chukua laptop achana na simu.