Recent content by wakitambo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu naomba na na mimi niwe kwenye hiyo 300
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Sijui manaibu mawaziri wana kazi gani! Waziri na katibu mkuu wanatosha sana
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

    Tafuta viongozi wa imani yenu, ili wakae wamshauri awaachie watoto wenu mpate kuendelea kuwalea ukizingatia watoto wanahitaji malezi na UPENDO wa wazazi.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Milango ya vioo isiyovunjika

    Naomba unisaidie mkuu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Milango ya vioo isiyovunjika

    Yes am serious.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Milango ya vioo isiyovunjika

    Habarini, WanaJF, Kuna jambo linaniumiza kichwa. Ningependa kuuliza hivi kuna milango ya vioo ambayo wezi hawawezi kuivunja. Kama ipo hapa Dar, naweza kuipata wapi? Karibuni wadau mnisaidie..
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

    Huyo si binamu bali ni mtoto wa binamu yake.Maana yake ni mwanawe.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kabisa mazoea na dada wa kazi

    Baba mwenye nyumba hivi unaanze kupenda mazoea na utani na wadada wa kazi. Vitu vingine havihitaji hata ushauri. Mkeo anajuwa hii '' weka mbali na watoto''
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Huyo mke wako ana kichaa cha ndoa. Wewe na mkeo mumsome dada Irene Mbowe, mafundisho yake yanaweza kuwa msaada mkubwa sana kwenu
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sura mbili za wanawake

    Kitu kikubwa ni heshima kwa ndugu wa pande zote mbili. Mkiendelea kuishi pamoja mkeo atawazoea nduguzo na atawapenda automatic. Don't force her too much. Jiulize na ww unawapenda ndugu zake.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Upishi wa uyoga

    Habar jf Chef, naomba kuelekezwa jinsi gani ya kupika uyoga mbichi na mkavu?
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawakumbuka na siwezi kuwasahau

    Not all memories are bad, there are some which are very beautiful, which u can treasure them always!
  13. W

    JamiiForums Tanzania hizi ndoa wa2 wanalazimishwa au...

    Daah! Mbona hata birth certificate hakuna Expiry date!
Back
Top Bottom