Recent content by WaKatende

  1. WaKatende

    Rais Magufuli atoa pole kwa familia ya Mzee Sugwa

    Kweli kabisa, mzee huyu kipindi cha utawala wake hapo (m/kiti)kijijini jeshi lake la sungusungu lilikuwa vizuri huenda ameenda kujifunza mbinu za kijeshi. Hongera zako mzee sugwa uliacha ualimu na kuwa mwanasiasa na ukakomesha ujambazi hapo katende.
  2. WaKatende

    Kumbukizi: Unakumbuka wapi ukiona hii?

    Tatizo la hizi barua huwezi kumaliza kuandika ukaikunja, lazima uihariri zaidi ya mara tatu. Kipindi hicho wazazi walikuwa nongwa sana wanalinda hadi mtoto wa kiume sijui kwa ajili ya Karo! Nilichezeaga kichapo cha haja, nikamtumia barua demu kumjulisha naye akakutwa na kaka mtu kunyang'wanywa...
  3. WaKatende

    Udongo mfinyanzi kutoka Rwanda

    Inaonekana kwa mbaali unawajua watu hawa,,... Akitaka kuzaa anaenda kusalimia kwao anagonngwa na ndugu zake/kaka n.k kisha anakuletea mimba kulea. Wajinga sana hawa watu wanataka wazaliane waeenee pote
  4. WaKatende

    Wekeza kwenye uchimbaji wa dhahabu kwa mtaji wa Tsh. milioni 60

    Sio rahisi kama ulivyoandika, biashara hii ni kama kamari unaweza pata faida kubwa ama hasara kubwa, zaidi hainaga hasara ndogo. Sio kila mawe utakayonunua yana dhahabu kuna utaalamu wa kuyatambua, na mbaya zaidi uweke mtu wewe uwe Dar uwe unapewa taarifa. Utawapa mitaji watu au kuwajengea...
  5. WaKatende

    Kompyuta yangu inaonyesha icons na maandishi makubwa tofauti na mwanzo

    Mimi sio mtaalam ila Yawezakuwa umeizoom mpk 200% au umeiwasha katika safe mode. Click help(?) ufuate maelekezo ya kurecover.
  6. WaKatende

    msaada kwenye @Playstore.

    Tatizo ni huo mtandao unaotumia..vyoodakom? Any way ngoja aje CHIEF MKWAWA atakusaidia
  7. WaKatende

    Magufuli Ikulu inakusubiri, Ona jinsi Mkutano wa Lowassa ulivyo doda Tarime

    Kumbeeee.... Ndio maana mnaanzisha thread usiku! Watu tumelala, ili mjibizane nyinyi kwa nyinyi. Umenikumbusha kibwagizo chenu. Ccm ilogilwe.... Ni kweli mmelogwa.
  8. WaKatende

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Hapa sijakuelewa, hivi kumbe utapiga tena kura moja? Sasa hao wabunge wa upinza utawawekaje bungeni?
  9. WaKatende

    Kauli ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu Lowassa

    Sio kwamba wameonyesha misimamo yao hadharani bali wao wameonyesha chuki za wazi wazi kwa lowasa. Wangekuwa wakweli wangewachambua wagombea wote tukaona nani anafaa kuiongoza nchi. Wao wamejikita kwa EL tu wengine hawasemwi. Kuna kashifa nyingi lakini wao ni richmond ndio wanaifahamu. Alishasema...
  10. WaKatende

    Kauli ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu Lowassa

    Akina Hamu leo polepole, mmm, n.k eti haya hawayajui. Sijui wapo tz gani. Mabadiliko hayazuiliki kwa chuki zao binafsi.
  11. WaKatende

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    CCm inachekesha hadi huruma. Kutokana na chama kutouzika wanataka watoe nembo ya chama kwenye bendera yao waweke picha ya magful na wabadili jina iwe CHAMA CHA MAGUFULI (C.C.M) ndio maana kwenye kampeni ananadi kuwa "serikali ya magufuri.
  12. WaKatende

    Juu ya utumishi wangu kwenye "Taasisi" ile ninapohakikisha treni la EL linatema abiria wake

    MM naona uzee umekuandama. Ungekuepo kipindi kile saul analetwa kwa watumishi wa Mungu aombewe nadhani ungekataa na usingekubali ajiunge na mitume kutokana na uuaji aliokuwa anaufanya, Jaribu kwenda na nyakati. Hata hivyo hatukubezi tutaendelea pale ulipoishia maana sasa umekuwa simba mzee...
  13. WaKatende

    Waraka kwa Dr. Slaa

    Kama kweli Dr. Slaa anasimamia Ukweli kwa anachokisema, siku hiyo tr 28 angetueleza haya aliyoyasema jana. Yeye anashiriki dhambi kisiri harafu anakuja hadharani kukana. Angekataa toka mwanzo kumpokea mtu mchafu katika chama, anataka kututumia vijana kuikomoa chadema kwa kuwa haikufuata matakwa...
  14. WaKatende

    GEITA:CHADEMA wazindulia kampeni za ubunge kijjini leo

    Tupo pamoja, mlipo tupo. Kwa tathimini iliyopo kmnd rogers ushindi ni asubuhi sana. Bugo mola na ma m.c.c yamevurugana kuhusu kupeleka vijana 2 kila jimbo dom kwenye semina ya kuhesabu kura. Naskia bugo anawapeleka kwa jer ya ps
  15. WaKatende

    Watanzania wezangu mtaikumbuka kauli yangu hii wakati wa vilio utakapowadia

    Kuna m1 alishawahi kutoa kauri akiwaambia majirani zetu wale 254 Kuwa una dola inakuwaje unashindwa uchaguzi? Eti kwake ni ajabu.
Back
Top Bottom