Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Kheri kuchagua mwizi aliyezungukwa na kundi la waadilifu kuliko kuchagua muadilifu aliyezungukwa na kundi la wezi peopleeeeees power.
Mtoto wa rais ni mgombea kwenye uchaguzi huu?
Bandiko lako limejaa "sijui/sina uhakika" kibao.
Unaleta 'speculation' tu jamvini.
Hujui kuwa ni mgombea ubunge?
Juma hujakosea, anachofanya Lowassa ni "umalaya wa kisiasa" Kama ulivyoandika.
Nyingine zone ni porojo tu.
Nishajibu kwenye post ya Lady, soma kidogo basi kabla ya kuweka comments.
Huwezi kuchangia nje ya mada husika.
Sio ustaarabu katika kutoa hoja.
Hizo thread za mtoto wa rais ziko huku na tumechangia...wewe hujaziona??
Huwezi kuchangia kila kitu kwenye thread
Juma hujakosea, anachofanya Lowassa ni "umalaya wa kisiasa" Kama ulivyoandika.
Nyingine zone ni porojo tu.
Anawalaumu vipi akina MMKJ na Polepole wakati wamefanya kile alichokiongea Mwapachu, Yaani kuonyesha misimamo yao hadharani.
Kwa hiyo Mwapachu anavyomuunga mkono Lowassa anachuki na Magufuli.?
kosoa kisomi zaidi yakeSifahamu vp Huyu Mwapachu atajiita msomi kwa aliondika hapo juu. Maneno yake hayana substance wala rationale behind them.
Juma hujakosea, anachofanya Lowassa ni "umalaya wa kisiasa" Kama ulivyoandika.
Nyingine zone ni porojo tu.
Juma hujakosea, anachofanya Lowassa ni "umalaya wa kisiasa" Kama ulivyoandika.
Nyingine zone ni porojo tu.
Kauli ya Barozi Juma Mwapachu Kuhusu Lowassa nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika mabadilishano ya fikra kwenye mtandao huu ambao kwa hakika, kwa maoni yangu, haubidi kuwa ni wa fikra pevu zisizo shawishika na misimamo ya 'kimalaya ya siasa'. Kama tutaserereka katika msingi huu, basi ni bora Chambi ukafunga virago na kusitisha huu mtandao.
Sidhani na siamini kwamba ramani ya siasa ya Jamhuri yetu itabaki ilivyo ifikapo Desemba 2015. Ni ishara ya kheri na mwelekeo mwafaka kwa demokrasia ya Taifa letu.Naamini kwa dhati kabisa kwamba Edward Lowassa atakuwa kiongozi ambaye atasaidia ramani hii kubwa na muono mpya.
Juma Volter Mwapachu
Source: Ibrahim Kibopile